Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

mhondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
968
Reaction score
359
Mahujaji 130 inadaiwa wamefariki katika ibada ya Hijja. Source Azam Two Habari imeandikwa katika maandishi yanayopita kwenye screen.

More Than 130 Pilgrims Die During Hajj in Saudi Arabia: Reports

Muslims, undertaking a pilgrimage to Mecca

MANAMA, October 5 (RIA Novosti) - More than 130 pilgrims from Arab states have died in Saudi Arabia during the Hajj which has begun on October 2, due to exacerbation of chronic diseases and age-related complications, the International Islamic News Agency reported.

According to the report, released on Saturday, the biggest number of deaths (14) has been registered among the pilgrims, coming from Egypt. Casualties have also been reported among the religious travelers from Iraq, Algeria, Sudan, Morocco, Somalia, Yemen, Jordan and Mauritania.

Another 213 pilgrims are currently under treatment in the hospitals of Saudi Arabia.

The Hajj is a mandatory religious duty – an annual Muslim pilgrimage to Mecca, a city in Saudi Arabia. It should be carried out at least once during a Muslim person's lifetime. The Hajj presupposes strict observance of numerous rituals, including the standing on Mount Arafat, which lasts for many hours. These rituals are being observed during the daylight, when temperatures may exceed 35 C (95 F).

Source: diplomat.so
 
Acheni utani kwny maisha ya watu bana, mi najua huko makkah ckukuu ilikuwa jana sasa leo wamekufa wakifanya nini, jamani mwenye taarifa kamili atujuze.
 
Hiyo habari haipo. Ni uongo tu.
 
Sijawahi kufikiria kwamba taarifa za kifo cha mwanadamu yeyote kwa sababu yeyote Inaweza kuwa jambo la kufurahisha. Tunaelekea wapi.

Nashindwa hata kushangaa na sijui watu hawa wanakuwa na akili kiasi gani,siwezi kufurahia kifo cha yeyote hata kama alinitenda ubaya wa kiwango kipi,sembuse mtu nisiyemjua.
 
Hiyo habari haipo. Ni uongo tu.

MANAMA, October 5 (RIA Novosti)

More than 130 pilgrims from Arab states have died in Saudi Arabia during the Hajj which has begun on October 2, due to exacerbation of chronic diseases and age-related complications, the International Islamic News Agency reported.

According to the report, released on Saturday, the biggest number of deaths (14) has been registered among the pilgrims, coming from Egypt. Casualties have also been reported among the religious travelers from Iraq, Algeria, Sudan, Morocco, Somalia, Yemen, Jordan and Mauritania.
Another 213 pilgrims are currently under treatment in the hospitals of Saudi Arabia.
The Hajj is a mandatory religious duty – an annual Muslim pilgrimage to Mecca, a city in Saudi Arabia. It should be carried out at least once during a Muslim person's lifetime. The Hajj presupposes strict observance of numerous rituals, including the standing on Mount Arafat, which lasts for many hours. These rituals are being observed during the daylight, when temperatures may exceed 35 C (95 F).
 
sijawahi ona wala kusikia mazishi ya watu walokufa kwenye hijah,miili yao inapelekwa wapi?
 
Kifo ni ahad kama mtu umepangiwa utakufa baada ya sekunde hizi utakufa tuu, na kule hijja watu n wengi kama chanzo kinavyosema ni kutokana na magonjwa mbalimbali wengine ni uzee na pia sehemu ile iko na msongamano sana ndo mana watu weng wanafarik na mtu akifarik bas ahad yake inakua ishafika na sio mtu ajiroposhe na kusema ni kafara..
 
Yeah umeongea point mkuu....

hizo ni changamoto za JF kikubwa uvumilivu tu kwakuwa tupo na aina tofauti za watu hapa....
 
Kifo ni ahad kama mtu umepangiwa utakufa baada ya sekunde hizi utakufa tuu, na kule hijja watu n wengi kama chanzo kinavyosema ni kutokana na magonjwa mbalimbali wengine ni uzee na pia sehemu ile iko na msongamano sana ndo mana watu weng wanafarik na mtu akifarik bas ahad yake inakua ishafika na sio mtu ajiroposhe na kusema ni kafara..

binadam anatembea na mauti,watu wanaleta masikhara tu humu
 
Back
Top Bottom