Mahudhurio Bungeni ni hafifu sana

Mahudhurio Bungeni ni hafifu sana

Tulia ni nani sasa huko Duniani! Hukusikia kuna nafasi amepataga huko mbele?
Ukiona Marekani hana interest na nafasi za kimataifa ujuwe hiyo nafasi ni takataka tu.

IMF na World bank hapo lazima Marekani ndio itowe boss wake.

Nafasi ya Tulia ni umoja wa mabunge tu, nafasi ambayo haina impact yoyote kwa Taifa zaidi ya kwake binafsi tu na familia yake.
 
Kweli kabisa

Ova
 
Nimekuwa nikifuatilia mara kwa mara mikutano ya bunge kila ninapopata nafasi.

Kinachonisikitisha ki kuona viti vina wabunge wachache mnooo.

Sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Wote wanalipwa posho bila mahudhurio? Sio kufoji huko?

2. Hivi hakuna utaratibu wa kusign kwa kidole au uso kwenye malango ya Bunge kuondoa udanganyifu kama upo?

3. Ndani ya chama au bunge hakuna kanuni inayomtaka mbunge kuhudhuria sio chini ya 80% ya vikao?

4. Kama mbunge ni mtoro bungeni, spika hana utaratibu wa kukiarifu chama anakotoka mbunge kuhusu mwenendo huo wa kutohudhuria vikao?

5. Kwanini wakati wa vikao vya bunge wasisitishe shuhuli nyingine kwa wabunge ili wapate muda wa kutimiza jukumu hili lao kuu lililowapa hata jina wanalotumia?

6. AOB: Kuna wabunge wasiochangia chochote kila mkutano wa bunge kipindi chote. Hawa tuwafanyeje?
Daaah sikumbuki mwaka gani niliangalia bunge tuliacha hakuna cha maana ni CCM wanapongezana na kufurahia maisha
 
Duh! Wewe ni kiboko aisee, hata hapo Kenya na Malawi tu hujui kama ni British colony?

Unaelewa nini kuhusu common wealth?
Nadhani hujaelewa swali langu, hakuna nchi iliyotawaliwa na mwingereza halafu ikawa na mfumo tofauti na wao.Nchi zote zilizotawaliwa na uingereza mawaziri wao utokana na wabunge. Ndiomaana nikasema tupe mfano mmoja tu.Sijui umeelewa
 
Nimekuwa nikifuatilia mara kwa mara mikutano ya bunge kila ninapopata nafasi.

Kinachonisikitisha ki kuona viti vina wabunge wachache mnooo.

Sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Wote wanalipwa posho bila mahudhurio? Sio kufoji huko?

2. Hivi hakuna utaratibu wa kusign kwa kidole au uso kwenye malango ya Bunge kuondoa udanganyifu kama upo?

3. Ndani ya chama au bunge hakuna kanuni inayomtaka mbunge kuhudhuria sio chini ya 80% ya vikao?

4. Kama mbunge ni mtoro bungeni, spika hana utaratibu wa kukiarifu chama anakotoka mbunge kuhusu mwenendo huo wa kutohudhuria vikao?

5. Kwanini wakati wa vikao vya bunge wasisitishe shuhuli nyingine kwa wabunge ili wapate muda wa kutimiza jukumu hili lao kuu lililowapa hata jina wanalotumia?

6. AOB: Kuna wabunge wasiochangia chochote kila mkutano wa bunge kipindi chote. Hawa tuwafanyeje?
Bunge lipi? Kumbuka mwenezi wa chama ni ni Bashite
 
Eeeeeeeeh kumbe bado kuna watu wanafuatilia ile futuhi ya mboga mboga 🤔🤔 wengi wao wanapaswa kuhukumiwa kwa uhujumu uchumi
 
Nadhani hujaelewa swali langu, hakuna nchi iliyotawaliwa na mwingereza halafu ikawa na mfumo tofauti na wao.Nchi zote zilizotawaliwa na uingereza mawaziri wao utokana na wabunge. Ndiomaana nikasema tupe mfano mmoja tu.Sijui umeelewa
Kenya
 
Marekani pia imetawaliwa na Uingereza ila haina mfumo kama wao.
 
hivi lile lichuma linawekwa kwenye droo na kutolewa lina maana gani bungeni mbona watanzani hatuna akili tuliheshimu lichuma lenye rangi ya dhahabu na halina kitu chochote likitolewa watu wanasimama likiwekwa watu wanasimama ujinga gani huu
 
Nimekuwa nikifuatilia mara kwa mara mikutano ya bunge kila ninapopata nafasi.

Kinachonisikitisha ki kuona viti vina wabunge wachache mnooo.

Sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Wote wanalipwa posho bila mahudhurio? Sio kufoji huko?

2. Hivi hakuna utaratibu wa kusign kwa kidole au uso kwenye malango ya Bunge kuondoa udanganyifu kama upo?

3. Ndani ya chama au bunge hakuna kanuni inayomtaka mbunge kuhudhuria sio chini ya 80% ya vikao?

4. Kama mbunge ni mtoro bungeni, spika hana utaratibu wa kukiarifu chama anakotoka mbunge kuhusu mwenendo huo wa kutohudhuria vikao?

5. Kwanini wakati wa vikao vya bunge wasisitishe shuhuli nyingine kwa wabunge ili wapate muda wa kutimiza jukumu hili lao kuu lililowapa hata jina wanalotumia?

6. AOB: Kuna wabunge wasiochangia chochote kila mkutano wa bunge kipindi chote. Hawa tuwafanyeje?
ukitoa taarifa unakula posho vuzuri tu..

2025 sio mbali, miili iko bungeni akili na mioyo jimboni comeback mjengoni inakuaje...

bajeti kuu ishapita na sina hoja dhidi ya miswada iliyopo mezani, natoa taarifa naenda kwenye mishe zingine, kuna maisha baada ya ubunge Lazima uwekeze vya kutosha pia..
 
Kumbe kuna bunge sina taarifa kabisa.

Maana nchi ipo autopilot mode.
 
Back
Top Bottom