Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,930
Dini ipi imedhalilishwa?
Dini gani?
Hahawangekuwa wa upande wa pili wangeandama ila kwa kuwa upande huu wamezoa kuchezewa sawa tu.
Watu wapi hao?
Mkuu huwezi anza kupoteza muda kwa kuandamana wakati Dini saiz haya mambo yapo wazi wazi kabisawangekuwa wa upande wa pili wangeandama ila kwa kuwa upande huu wamezoa kuchezewa sawa tu.
Jamaa yupo vizuri, kuna wengine wanatamani zisimame hivyo lakini hawawezi