Mahubiri Makubwa ya Maisha Hatimaye

Mahubiri Makubwa ya Maisha Hatimaye

3 Angels message

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
5,571
Reaction score
16,243
MAISHA HATIMAYE .....MBEYA 2018

Karibu usikilize na kuona Matangazo mubashara ya mahubiri ya maisha hatimaye yalioanza kuanzia tarehe 10/02/2018 hadi 03/03/2018 kutokea jiji LA Mbeya yakiendeshwa na Makamu wa Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mchungaji Geophrey Mbwana yanakufikia kwa uzuri kupitia Runinga ,redio na vyombo mbalimbali vya mawasiliano kama:_

1.Morning Star TV kwenye ving'amuzi vya Continental na Ting

2.Kwenye Satellite receivers

3.Programu tumishi ya Tuneln radio ukiwa popote

4. Facebook live streaming wale wanaoweza wajiunge na Facebook account inayoitwa "Maisha Hatimaye"

5.Kuna program tumishi inaitwa TAMC

6. YouTube

7.Rock FM redio 96.9 (Mbeya)

8.Big star FM radio 106.5 (Mbeya)

9.Morning Star redio kwa MBEYA na mikoa jirani 106.9

10.Chai FM redio 105.7 (Tukuyu Mbeya)

11.Salvation FM redio ( Songea)

12.Jogoo FM redio 93.0 ( Songea)

13.Dodoma FM redio 98.4 ( Dodoma)

13.ATAPE SHC _blogspot_

Matangazo haya yakuwa yanarushwa kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 na nusu usiku
87d5824976a43559e0c4587dd15d64b3.jpg
 
Amina, Tuombee na Amani ya nchi yetu ya kipee ilejee na tusisikie tena maswahibu mabaya .
Ni jambo la msingi hilo maana pasipokuwepo amani hata huu uhuru tunaoupata kwa ajili ya mahubiri lkn pia uinjilishaji hatutakuwa nao
 
MAISHA HATIMAYE .....MBEYA 2018

Karibu usikilize na kuona Matangazo mubashara ya mahubiri ya maisha hatimaye yalioanza kuanzia tarehe 10/02/2018 hadi 03/03/2018 kutokea jiji LA Mbeya yakiendeshwa na Makamu wa Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mchungaji Geophrey Mbwana yanakufikia kwa uzuri kupitia Runinga ,redio na vyombo mbalimbali vya mawasiliano kama:_

1.Morning Star TV kwenye ving'amuzi vya Continental na Ting

2.Kwenye Satellite receivers

3.Programu tumishi ya Tuneln radio ukiwa popote

4. Facebook live streaming wale wanaoweza wajiunge na Facebook account inayoitwa "Maisha Hatimaye"

5.Kuna program tumishi inaitwa TAMC

6. YouTube

7.Rock FM redio 96.9 (Mbeya)

8.Big star FM radio 106.5 (Mbeya)

9.Morning Star redio kwa MBEYA na mikoa jirani 106.9

10.Chai FM redio 105.7 (Tukuyu Mbeya)

11.Salvation FM redio ( Songea)

12.Jogoo FM redio 93.0 ( Songea)

13.Dodoma FM redio 98.4 ( Dodoma)

13.ATAPE SHC _blogspot_

Matangazo haya yakuwa yanarushwa kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 na nusu usiku
Ubarikiwe mjoli. Kila anayesikiliza mafundisho haya hawezi kubaki alivyo. Nimeoma mkono wa Mungu ukitenda kwangu binafsi. Nawasihi tusiache kufuatilia wapendwa.
U
 
Ubarikiwe mjoli. Kila anayesikiliza mafundisho haya hawezi kubaki alivyo. Nimeoma mkono wa Mungu ukitenda kwangu binafsi. Nawasihi tusiache kufuatilia wapendwa.
U
Amina

Ni kweli kabisa tunamshukuru sana Mungu kwa namna yalivyopokelewa na jinsi roho nyingi zinavyojitoa kwa ajili ya ubatizo
 
WATU 15,748 WACHAGUA KUOKOLEWA
Mahubiri ya MAISHA HATIMAYE yaliyokuwa yakifanyika jijini Mbeya, na kurushwa mubashara na Runinga na Redio vya Morning Star pamoja na vituo vingine kadhaa vya redio yamehitimishwa hivi karibuni. Taarifa za awali za ubatizo kufuatia mahubiri hayo kwa mujibu wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya South Tanzania Union Mission kwa nchi nzima ya Tanzania ni kama ifuatavyo:
1. Jimbo la Nyanza (SNC) - 5575
2. Jimbo la Mara (MC) - 5128
3. Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania (ECT) - 1528
4. Jimbo la Nyanda za Juu Kusini (SHC) - 1155
5. Jimbo la Kusini Mashariki mwa Tanzania (SEC) - 923
6. Jimbo la Kati mwa Tanzania (CTF) - 709
7. Jimbo la Kaskazini Mashariki mwa Tanzania (NET) - 367
8. Jimbo la Mgaharibi mwa Tanzania (WTC) - 363
Jumla kuu ya wale waliomchagua na kumfuata Yesu kupitia kanisa la Waadventista wa Sabato ni watu 15,748. Mungu apewe sifa kwa matokeo haya na tuendelee kuwaombea ili wakue kiroho wakijiandaa kumpokea Mwokozi mara ajapo.
FB_IMG_1520485391491.jpg
FB_IMG_1520485381434.jpg
FB_IMG_1520485338213.jpg
 
Back
Top Bottom