Mahousegirl Wengine Mmh!

Hiyo ni kawaida ya beki tatu ana makusudi huyo coz mazoezi amegeuza mechi so kuwa makini make kifuatacho atakwambia ana mimba halafu ndo utajibeba
 
Nilimuuliza wepesi wake ni upi ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi, akachagua kukaa pale pale.

Na wewe ukakubali wakati ungeweza kukataa wewe si ndo mwajiri bana unaweka terms za employment? Ona sasa balaa atakalokuletea na usije siku nyingine hapa kusema umepata ngoma ndo utalijua jiji maana mimba tu haitoshi. A real man would never live with a housekeeper alone unless he has other issues behind.
 
Huyo alitaka kukupa dawa ukaogopa dose. Mkuu bora lawama kuliko hasara. na siku zote maji hayaruki shimo. huyo yakupasa na wewe umuonyeshe ukidume wako au unamuogopa?.aisee! penye miti mingi hakuna wajenzi. Mia
 
What does living with a maid have to do with being a 'real man' ????! Kwani wana nini hata kuishi nao kumfanya mwanaume asiwe mwanaume wa ukweli?
 
Mahausi geli ni wanawawake kama wengine, ukimpenda untangaza NIA kama inaonekana kaupnda, kuna wengine wanafanya hivyo kama njia ya kujiongezea kipato kwamba ukimshamnanihii .............atakua anavuta tu...lakini ujue heshima ya kazi itaondoka na wengine ni gia ya kukuibia ......
 
Huyo alitaka kukupa dawa ukaogopa dose. Mkuu bora lawama kuliko hasara. na siku zote maji hayaruki shimo. huyo yakupasa na wewe umuonyeshe ukidume wako au unamuogopa?.aisee! penye miti mingi hakuna wajenzi. Mia

Aaaa! figganigga nipitie grain terminal nikakupe supu. miaaaaaaaaa
 
Kuwa na msimamo. Kwanza kuwa na msichana wakulala home ilihali uko peke yako home inanishtua kidogo labda awe wakuja na kurudi. Pili kama ushaesema sio mke ni msichana wa kazi basi kuwa na mipaka na weka wazi ajue kama hawezi aanze mbele utafute msichana wa kazi ukimaanisha msichana wa kazi kweli.
 
Isije kuwa na wewe ushampenda, kama si hivyo na ameonyesha hizo dalili, acha kufuga maradhi, timua haraka!
 
bahada = baada, sebureni = sebuleni, rizki = riziki.

Acha tamaa za kijinga, kama unauguzwa chukulia unauguzwa. Au fanya mchezo na wewe uozeshwe kama mwenzako ndo utajua akili yako ilipo.

naona kweli ni tamaa, umemchunguzaje na kujua yote, mpaka ukamuuliza na kujua kinachomfanya alale sebuleni, au ulitaka akuambie anataka kulala kwako. Mueleze tu kuwa hapo ni sebuleni asilale, au unachungulia na kula by induction. Pole. Mlete demu wako, huyo ataacha.
 
he he he alikuwa mtamu?anajua game?maana najua umeshammega otherwise utakuwa una matatizo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom