Mahousegirl Wengine Mmh!

kwa hiyo kwa vile unaogopa kutangazwa sio riziki itabidi umle au? maana hapa sijui unataka tukuambie nini wakati dalili za wewe kumla ziko kwenye maelezo yako. kwani ukitangazwa sio riziki wakati ni riziki utapungua kilo ngapi? kula akugande ndio utalijua jiji la mkoa wa kaskazini.


Ndo maana nikasema hapo juu hizo zote anatupa hadithi za matokeo ya alichofanya
Hapo dada wa watu kashafanyiwa la kufannyiwa tunachoambiwa na mhusika hapo ni matokeo
Aache kudanganya umma wa watu bana
 
Huo ni unyanyasaji.............nakwambi kama umemtamani hata umvishe magunia.............utamtaka tu!...suala la sabuni kutumiwa ni suala la kipato hizo unazoshauri aogee HG ; mie ndo nazitumia na ni nzuri sana kwa afya ya ngozi yangu.............!

Unaonesha hata hg hauna nyumbani.
 
Ribosome sikuwezii! So hizo sabuni mtu upake kama mafuta? Sijui nijaribu? Lakini chumvi haiwezi kuwa sukari hata siku moja! Kuna akili fulani mtu akishakuwa nayo juu ya hao viumbe hata mkeo nae afunge kilemba kama beki tatu utamwanalia hg tu! Acha tamaa especially ukisamehewa tena mana nina wsws kinachofuata ni talaka3 lol!

Michael! Its okey topic closed naheshimu mawazo yako ila jibu ninalo usitafute tena wa mitego. . Ushauri wa bure. .

Wengine mtihani dada, wanafanya kusudi kabisa, sasa mtu katoka kukoga, kisha jipaka lux mbadla wa mafuta halafu anakuja na khanga moja (ana time mama hayko karibu) na kkuuliza Mzee, nikuletee kahawa?
 
kama hutaki si umwambie kua hupendi anavyofanya lkn kwa nilivyokusoma hapo tayari tamaa imeshakuingia pole sana mkubwa.
 
Kama wewe ni mkristo mpe neno la biblia,kama ni mwislamu mp neno kutoka koran,kama huna dini mpe maadili yahusuyo mila.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom