Mahousegirl Wengine Mmh!

Ushakulla wewe unazingua hapa! Ulimwona saa ngapi wakati anasaula wakati wewe ulikuwa chumbani kwako! Kama hujachungulia sebuleni uliona vipi?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Am short of words.....maana umejitakia mwenyewe. kama unaishi mwenyewe kwa nini umechukua dada wa kuishi naye?? kwani haezi kwenda na kurudi (dayworker wanaitwa)??
 
Am short of words.....maana umejitakia mwenyewe. kama unaishi mwenyewe kwa nini umechukua dada wa kuishi naye?? kwani haezi kwenda na kurudi (dayworker wanaitwa)??

Nilimuuliza wepesi wake ni upi ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi, akachagua kukaa pale pale.
 
Sauti ya wengi ni ya Mungu,ukikataa unamkataa MUNGU!

Sıyo wakatı wote nı kwelı. Wakatı mwıngıne sautı ya wengı nı ya Shetanı. Kama wewe nı mkrısto/msomajı wa Bıblıa utakuwa unaelewa vızurı habarı za Ayubu na rafıkı zake.
 
We akisema si riziki na we wajijua ni riziki,kuna tatizo gani??

u-riziki wako mwonyeshe anayestahili si kila anayekutamanisha.....!
 
haupo serious na huyo dada.ndio maana ana re act hivyo kwako.yote hayo anayoyafanya unashindwa vipi kumuonya na umwambie kama anataka kazi au hataki?be serious with her ajue kuwa yupo pale ki kazi na sio jambo jengine lolote
 
wewe unaishi mwenyewe halafu unaleta house girl tena wa kulala nyumbani!!?
Mara ya mwisho nliposikia habari kama hii yako, iliishia kwenye kumtia mimba, kisha kuamua kuishi naye kabisa! Kisa hicho kilikuwa cha jamaa mmoja mwalimu mkoani morogoro wilaya ya mvomero!
Sina shaka kuwa na wewe pia utamalizia story yako hivyo siku zijazo humu JF. Tunasubiri
:sleep:...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom