lukule2009
Senior Member
- Sep 23, 2009
- 132
- 11
Yale maswali yaliulizwa kwake personally,
akijibu ki-ujumla how can he be assessed?
mkuu acheni hizo, huu wivu unawasaidia nini? unapindisha maada kwa makusudi kabisa.
I, I, I..unataka amsemee nani sasa!, kamati ya bunge ilipitisha kwa initiative za nani? bunge ni watu, waacha kila mmoja abebe msalaba wake mwenyewe! unataka awafagilie wabunge wengine wa CCM! siasa bwana
too chep for you, huna ground za kusema hivyo
anazungumza kama kiongozi thats all.
LOL!
Wakuu zangu,
Ebu tukue kiumri na kifira pia.. Hizi habari za Zitto mbona zinawasumbua sana kana kwamba Zitto ni mmoja muhimu na hatari sana.
Kila naposoma ni lawama tu Zittooo Zittooo, imefikia hata watu kusema Kundi la Zitto sijui hivi mara vile.
Lakini tukitazama ukweli watu wanaozungumzwa hapa ni watu wa Zitto tu, sijawahi kusikia maelezo ya kundi lapili hata siku moja toka mdomoni mwa Zitto ama wafuasi wake.
Hata nikichukulia kwamba Zitto na kundi lake wana Uhasama na kina Dr.Slaa, Mnyika, Mdee na wengineo, mbona sijasoma hata siku moja humu JF watu hao wakitupiwa maneno japo kidogo. Kama kweli Zitto angekuwa na uchafu huu nina hakika tungekwisha sikia mengi tu kuhsiana na kundi la pili lakini kila siku ni Zitto na kundi lake huku watyu wamejificha chini ya majina bandia..Na bado Zitto kaheshimu haki zenu. Kisha basi Zitto huja hapa kujiweni na muda mwingi hutumia kujibu matapishi yenu juu yake yeye badala ya kuzungumzia Chadema kama chama.
Ifike wakati tukubali maelezo yake na tutazama vitu vikubwa vinavyotuhusu zaidi ya Zitto..
Jamani inachosha...Ikiwa mmaswali yenyewe anaulizwa kuhusu yeye mlitegemea azungumze kuhusu nani?.. Haya ya sisi (we) mahala ambapo hapahusu!
Nini matarajio yako ya baadaye?
Ninatamani kuwa mwalimu wa chuo kikuu, kufundisha, kutafiti na kuandika vitabu. Nitakapoacha siasa, hii ndio kazi ambayo ningependa kufanya. Kufundisha.
Zitto,
..mahusiano yako na hawa viongozi wa CCM yanatisha.
..yaani huna role model hata mmoja ndani ya Chadema?
..hivi kada wa CCM akisema role model wake ni Mzee Mtei, au Dr.Slaa, na kwamba kila siku hushinda huko akifundishwa siasa, unafikiri CCM watafanya nini naye?
..halafu how could you be impressed na kiongozi kama JK? jinsi anavyovumilia wala rushwa umeona ni jambo la maana kweli?
..huu mwenendo wako unaweza kuwa sababu iliyowafanya wazee wakushauri usigombee Uenyekiti wa Chadema.
Mimi nilishaanza countdown ya Zitto kuhamia CCM. The guy hana mapenzi tena na chadema. Haya yote anayoweka hapa ni kujaribu kudanganya waandishi uchwara wa bongo ili waandike kwenye magazeti yao (si unajua tena waandishi wanachukua habari hapa moja kwa moja na kuziweka kwenye magazeti yao!).
hahahahahahahah!sijawahi kuchekeshwa na wapwa,leo nimekubali fl1siasa ndio ngumu namna hii ..eeh
Kibunago said:Katika hili pia kuna mfano mbaya wa kauli yako humu ukijibu kuwa WABUNGE WOTE WA CCM walipokea fedha za kifisadi wakati wa uchaguzi uliopita. Zito nakuomba kwa kweli uondoe hii kauli yako. Maana wanaweza kuwa 'baadhi' au 'wengi' lakini ukisema WOTE nadhani ni serious na unatakiwa utuletee hapa sasa uthibitisho huo kwamba walipokea WABUNGE WOTE TANZANIA NZIMA BARA NA VISIWANI kwa njia ipi kama posho au kama nauli (nje ya fungu au fedha halali za Chama zilizokuwepo) au kama msaada wa kuwainua katika kampeni zao mmoja mmoja na ni nani alizigawa Tanzania nzima.
Asante sana Zitto kwa hili, angalau sasa gazeti la Jambo leo nitaliingiza kwenye subscription yangu.Ndugu zangu, ninawaomba radhi niweke mahojiano yangu haya na gazeti la Jambo Leo katika uwanja wetu. Humo kuna kauli yangu rasmi kuhusu mijadala inayoendelea.
Nawaomba radhi tena kwa kuweka hii interview. Nadhani ni muhimu wakati huu. Naelewa kuna Zitto sana, mniwie radhi kwa hili langu mwenyewe!