NgomaNgumu
Senior Member
- Nov 20, 2010
- 194
- 24
Nilikua ninafuatilia mahojiana ya Flora nducha na stephen Chuwa wa radio one ambayo yapo kwenye michuzi habari zilizopita kama sikosei ilikua kwenye 25/09/2011. Naomba muangalie hiyo interview na mtoe maoni yenu kuhusu waandishi wetu wa habari nyumbani na ufahamu wao kwa ujumla. Muandisha amehudhuria kikao cha umoja wa mataifa baadae anapata nafasi ya kuhojiwa anazungumzia majumba marefu! Tafadhali bwanaa Ebu angalieni baadae tuambiane inakuwaje labda ninakosea