Mahojiano ya Stephen Chuwa Umoja wa Mataifa na uwezo wa wanahabari Tanzania

NgomaNgumu

Senior Member
Nov 20, 2010
194
24
Nilikua ninafuatilia mahojiana ya Flora nducha na stephen Chuwa wa radio one ambayo yapo kwenye michuzi habari zilizopita kama sikosei ilikua kwenye 25/09/2011. Naomba muangalie hiyo interview na mtoe maoni yenu kuhusu waandishi wetu wa habari nyumbani na ufahamu wao kwa ujumla. Muandisha amehudhuria kikao cha umoja wa mataifa baadae anapata nafasi ya kuhojiwa anazungumzia majumba marefu! Tafadhali bwanaa Ebu angalieni baadae tuambiane inakuwaje labda ninakosea
 
Nilisha ona huyu jamaa na michuzi walivyo wavivu wa kufikiri .Ndiyo waandishi hao eti yaani nikiogopa hakika .
 
Link itakuwa ni muhimu ili tuchangie vzr hii topic mkuu. Suala hili tunapaswa kuwa tunalizungumza kwa undani, ni suala muhimu kabisa katika mstakabali wa jamii. Niko very much concerned na uwezo wa media in general hapa kwetu. Lakini lazima tukubali wapo wanaopiga mzigo, wenye uwezo na wengine mhh. Weka link bro, tuchambue hiyo case study yako katika issue hii.
 
Back
Top Bottom