Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,071
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.

1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.

2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.

3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).

4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.

5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.

NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
 
Obvious
 
Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,

Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.

Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.

Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.

Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.

Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.

Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
 
GT watakuwa wamemwelewa vizuri Rostam. Tatizo lenu vijana mnausujudu sana umaskini
 
Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,

Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.

Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.

Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.

Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.

Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.

Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
Uko na very very very pooooorr analytical skills asee
 
Suala la mtandao,
Ambalo ndo lilikua linasubiriwa Kwa hamu, jamaa kalifafanua vema kabisa na kakiri kweli yeye ni mwanamtandao.

Tukubali tukatae, wanasiasa ndio nguzo za wafanyabiashara wengi duniani.

Nchi zinazojielewa, wafanyabiashara ni partners WA wanasiasa (yaani utengeneza mtandao) ili kukuza uchumi WA nchi na wananchi Kwa maendeleo ya nchi.

Suala la mfanyabiashara kua na mtandao na wanasiasa kipindi Cha kampeni Wala sio dhambi,

wengi mitaani tunachangia Sana kampeni za wanasiasa ili tuweze kunufaika na mifumo endapo wakifikia madarakani.

Mtanzania mwenzio akinufaika na mfumo, akapata pesa na kukuza miradi yake inayoajiri watz wengine, Wala sio dhambi.

Dhambi ni unufaike na mfumo afu ukafiche pesa ulaya huko, hiyo ni dhambi isiyosameheka daima
 
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.

1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.

2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.

3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).

4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.

5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.

NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Ukitaka kujua dogo
IMG_2447.jpeg
 
Back
Top Bottom