Hivi vyama vya siasa vya upinzani ifike mahali viwe vinafanya mambo kwa matendo walau hata kwa uchache tu...
Kila siku kuiponda serikali kwa maneno haina msaada na wala haitoi fundisho kwa wapiga kura...
Mkuu unataka vyama vya siasa vya upinzani vifanye mambo kwa matendo wakati havina mamlaka hayo?upinzani hauongozi serekali hovyo jukumu lao ni kutoa maoni tu na kukosoa.mwenye uwezo wa kufanya mambo kwa vitendo ni ccm mwenye serekali