Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,240
- 111,259
Una uhakika na haya uliyoyaandika?
Watu mmejazwa na siasa za malumbano ndio maana hakuna chama kinakubali kushaurika au kupewa dira...
Kwa nini watanzania kila kitu tunataka kuisubiri serikali ifanye, je tumekosa ubunifu au ndio tumeridhika tulipofika?

Tatizo la watu wanaoandikiwa halafu wanapewa buku 7 wanaambiwa kapost hii.