Mahojiano Mbatia ITV jana yamenigusa

Mahojiano Mbatia ITV jana yamenigusa

kwa kuwa serikali ndio wanakusanya kodi lakini hizo kodi wanazigawana kifisadi badala ya kuzitumia, basi watoe hizo kodi kwa wapinzani ili wapinzani wazitumie kuwaletea wananchi maendeleo. je, mafisadi watakubali kuachia hizo kodi? hili ndilo swali la kujiuliza na ndicho kitendawili tunachopaswa kujadiliana jinsi ya kukitegua ili wapinzani wapate rasilimali za kuoneshea mfano kwa vitendo.

Mkuu,
Kuna watu wana MAHABA na serikali hii kiasi hata akisikia mkewe anachukuliwa na mmoja wa viongozi wa serikali hii mtu huyo ataishia kucheka tu. Yaani ni shida bro.
Hawawezi kukuelewa hata usemeje.
Hebu jiulize mkuu, nchi inaendeshwa kwa kodi, serikali ndo inayokusanya kodi kwa hiyo ina mamlaka ya kuitumia kodi hiyo kuendesha nchi, pale inapoonekana kodi hiyo haitumiki vizuri hasa kwenye suala la maendeleo lazima ikemewe au hata kulaumiwa kwa vyovyote vile. Haiwezekani kuanza kusema eti wapinzani ambao kuikosoa serikali ndo kazi yao eti waonekane hawafai eti nao wajenge vyao iwe mfano, mtu mwenye akili ya namna hii ni kukaa naye mbali, ni hatari sana kwa afya ya taifa hili.
 
Mkuu hapo sijakuelewa,wafanye kwa vitendo kivipi
unataka wajipachike kuwa mawaziri na kufanya maamuzi?

Unataka watekeleze sera zao kwa fedha kutoka wapi wakati hawakusanyi kodi na hawaruhusiwi kukopa kwa niaba ya nchi?
Mimi naona wa kubadilika ni sisi wananchi tunaopiga kura,tuwape hao wapinzani nchi kwa kipindi
kimoja tuwajaribu,kama watashindwa ndipo tuandike post kama uliyoiandika.

Kinyume na hapo tukubali kuona nchi yetu inatawaliwa kiakili na wasomi
kutoka nje kwa uwezo wao wa kutudanganya ktk mikataba,na wasomi wetu
kwa uelewa mdogo wataishia kuhongwa magari na safari za kwenda ulaya,
wanatufanya watumwa kwenye nchi yetu.

Mkuu,
Post yako ina mashiko sana labda nigusie kidogo tu pale uliposema tuwape wapinzani nchi kwa kuwajaribu, hii kauli si nzuri sana, ina maana hatuna imani nao kitu ambacho si sahihi.
Tukiamua kufanya mabadiliko hakuna haja ya kuanza kuwaza eti labda wataweza au vipi.
Nchi hizi tumeumbwa tuziendeshe na tuzitawale sisi wenyewe wanadamu, hakuna kikundi cha watu kilichoshushwa kutoka mbinguni eti chenyewe ndo kinafaa kutawala nchi, big NO.
Kuna watu walokuwa wakiamini kuwa nchi hii haiwezi kuwepo bila Nyerere lakini yako wapi yako wapi ya zidumu fikira sahihi za mwenyekiti wa ccm? Hivi leo hii huo usemi unatamkika? maana mwenyekiti wa ccm ni Jakaya.
Kwa kuwa tuliukubali mfumo wa vyama vingi lazima tukubali kuuishi mfumo huo. Leo ccm kesho cdm au act au ukawa.
 
Labda hujaelewa hoja yangu ya msingi...

Vyama vya siasa vya upinzani vinapaswa kuacha kuilalamikia serikali bali vinapaswa kuyaweka katika matendo yale mambo yaliyopo ndani ya uwezo wao...

Huwezi kuwa mpinzani halafu utegemee serikali hii dhalimu ya CCM ikusaidie katika majimbo ambayo umeiangusha...

Hivyo hata hilo unalolitaja la kumegewa kodi kidogo ili kuonesha mfano wa namna ya kuitumia hiyo kodi ni jambo la kusadikika...

Mathalani, leo hii CDM ni chama kikuu cha upinzani, lakini je kinajivunia jambo gani katika kuonesha elimu kwa vitendo ili wananchi wakipe kura nyingi zaidi kuliko awali?

Mkuu
Hivi unajua mfumo wa uendeshaji wa mambo ya nchi kweli wewe.
Nikuulize swala dogo tu, hivi unajua uhusiano wa kikazi wa mwenyekiti wa halmashauri/meya na mkurugenzi?
Unajua uhusiano wa kisiasa wa watu hawa?
Unajua uhusiano wa kisiasa wa diwani na mbunge?
Je anajua uhusiano wa kikazi/kisaisa wa mkurugenzi na dc/rc??
Ukijibu haya kwa utashi utapata jibu la hiyo post yako.
 
Wewe kama ni kiongozi wa chama cha siasa basi hufai kabisa kupewa dhamana ya kuongoza hata kijiji...

Kuikosoa serikali ni jambo moja, kupata trust ya wananchi ni jambo jingine...

Wakati wapinzani wakiendelea kukosoa serikali (so far they've been doing entrancingly), upande wa pili kuna zaidi ya siasa nayo ni siasa ya vitendo...

Hebu jiulize, serikali ya CCM isingekuwa inafanya madudu je upinzani ungeishi na kujitangaza kwa lipi?

Je kuna siku ccm walishawahi kuwaambia wapinzani kuwa hapa tumefanya madudu?
Kuna siku ccm imewahi kukiri kufanya madudu?
Tatizo MAHABA yanawazidi mno. CHONGO LINAKUWA NI KENGEZA.
 
Katiba na sera ni vitu viwiwli tofauti, mimi nilisoma kipengele alichochakachuwa Mbowe tu.

Sera za upinzani nilizowahi kuziona ni za CUF tu sijawahi kuiona ya chadema na za vyama vingine, mimi huwa nawaona wanapiga porojo, kubwabwaja, kuhororoja, majungu, ufataani, uongo na uzandik tu.

sera za majimbo,elimu ya bure,ni za chama gani
 
hapa sijui tatizo halijajulikana hivi hata kama ccm wanazoizo sera je sinasimamiwa ipasavyo?
 
Tenga muda wako isome hiyo sera vizuri alafu urudi hapa with concrete arguments. Hii tabia ya kusubiri kusikia toka kwa mtu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Mr. Prezidah, hivi kweli huko humu Tanzania?? Kweli umelizika na mfumo tulio nao kwa sasa? Hivi kweli unaweza kupoteza muda wako kusoma hiyo kitu wanaita Sera Ya Elimu ya Taifa ?
Mh. Mbatia aligusia suala la Ma-prof. wetu kuanzia fikra walizo nazo, vaa yao, muonekano wao.. Yaani kiujumla wako CHOKA MBAYA. Na hao ndo wanatuandaa tujitambue na tusogeze taifa mbele. MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA.
Nina uhakika unaona mwenyewe na unafahamu. Sijui nikuanzie wapi bali tuonane f2f.
================Mwenye Macho Ahambiwi Tazama=================
​
 
mkuu mi nipo hapa hapa, kama umepitia vizuri comment yangu mimi sijasifia wala kuponda hiyo sera kiufupi sikutaka kuijadili lakini concern yangu ilikuwa tabia ya watanzania ya kupenda kusikia kutoka kwa mtu mwingine alafu aje aanzishe uzi hapa. ninachojaribu kusisitiza ni vijana kupenda kusoma nyaraka zinazotolewa ili kuielewa vema na kuichambua kama alivyofanya mbatia, tukikutana hapa tulioisoma sera hiyo michango inakuwa na mantiki sasa utajadili vipi na mtu amesikia toka kwa mwingine. the same applies to proposed constitution
 
kwi kwikwi kwiii:lol:Kumbe wee msiasa... Unazungumzia katiba pendekezwa hapa wakati tuliletewa maboksi ya katiba tugawiwe kumbe ndani ya maboksi kuna rims za karatasi A4. Baada ya wat2 wa Tv kuondoka na maboksi yakayeyuka mpaka leo. Vile vile vitabu au nyaraka za sera ya elimu ya Taifa utaipata wapi wewe Kacheku ili usomeeee.
 
ipo kwenye tovuti ya wizara husika mkuu dah nilikuwa sijui hilo la katiba :heh:
 
Mkuu,
Post yako ina mashiko sana labda nigusie kidogo tu pale uliposema tuwape wapinzani nchi kwa kuwajaribu, hii kauli si nzuri sana, ina maana hatuna imani nao kitu ambacho si sahihi.
Tukiamua kufanya mabadiliko hakuna haja ya kuanza kuwaza eti labda wataweza au vipi.
Nchi hizi tumeumbwa tuziendeshe na tuzitawale sisi wenyewe wanadamu, hakuna kikundi cha watu kilichoshushwa kutoka mbinguni eti chenyewe ndo kinafaa kutawala nchi, big NO.
Kuna watu walokuwa wakiamini kuwa nchi hii haiwezi kuwepo bila Nyerere lakini yako wapi yako wapi ya zidumu fikira sahihi za mwenyekiti wa ccm? Hivi leo hii huo usemi unatamkika? maana mwenyekiti wa ccm ni Jakaya.
Kwa kuwa tuliukubali mfumo wa vyama vingi lazima tukubali kuuishi mfumo huo. Leo ccm kesho cdm au act au ukawa.
Mkuu asante,tuko pamoja
nimetumia hiyo lugha kwani lugha nyingine watz tumeanishwa ni uzushi.
Kama unaangaliaga bunge utakuta mawaziri wakishindwa jambo wanasema '' Hakuna mtu anaweza kufanya....,tusidanganyane,tusitafute umaarufu...'' na watz wanaamini kisa maneno hayo yamesemwa na waziri.

Binafsi huwa najiuliza,mbona vitu kama umeme,meli,magari, ndege n.k
vilibuniwa na 'mtu'au utakuta lilikuwa wazo la mtu binafsi na siyo kundi au chama?
iweje leo mtu tena msomi aseme hakuna mtu anaweza kufanya A,B,C?
Natamani waseme hivi ''mimi siwezi kufanya A,B,C.. anayeweza aje nimwachie nafasi"

Hivyo nimeamua kutumia lugha ya ''tuwajaribu'' nikiwa na maana ya kuwapa nafasi
maana ukiwaambia watu tuwachague macho yao yanaona kushindwa zaidi,
na wanafikiri,endapo watashindwa watakaa madarakani milele,ndo maana nikawakumbusha kwamba bado
tutakuwa na mfumo wa kupiga kura,kila baada ya miaka 5. Na wakati huo tutakuwa na uwezo wa kubadilisha uongozi
endapo utashindwa kuwajibika ipasavyo.
 
Mkuu mathalani katika sekta ya elimu, hapa ndipo ambapo kuna fursa ya wazi kabisa...

Wapinzani wangeweza japo kujenga shule walau katika kila jimbo wanaloshikilia...

Halafu sasa ile sera yao ya elimu bora, elimu bure wangeifanya kwa vitendo...

Kuweza kupata kura za Watanzania inakupasa kwanza uthubutu kujenga kuaminika...

Kupiga kelele za kuikosoa serikali pekee haitoshi maana hata sisi tusio wanasiasa tunaona udhaifu uliopo lakini hatuoni mwenye kuonesha mfano na kuongoza njia Watanzania watayoifuata...

Mkuu sana Watu8 unaweza kunipa walau nchi moja nami nijifunze wapinzani waliotekeleza mpango huo?

Naanza kuona sasa vyama vya siasa kujiingiza katika biashara ya real estate!
 
Last edited by a moderator:
Hivi vyama vya siasa vya upinzani ifike mahali viwe vinafanya mambo kwa matendo walau hata kwa uchache tu...

Kila siku kuiponda serikali kwa maneno haina msaada na wala haitoi fundisho kwa wapiga kura...
Mfano....
 
Wewe ndiyo umechemka kabisa.

Hizo sera za wapinzani ziko wapi? umeshaziona> mimi sijawahi kuona hata siku moja wakija na mkakati wa nini wanachotarajia kufanya tukiwapa nchi.

Mimi nnachokiona ni siasa majitaka na matusi tu.

nakukubali sana kwa kutoa luga kali
 
Malalika;

Je umesoma bajeti kivuli ya Elimu? Hilo suala la bure sijaliona. Sorry[/QUOTE kobelo
Je umesoma party manifesto ya CHADEMA ya 2010? Kaisome niletee mrejesho hapa. Karibu tena!
Unadhani umetoa hoja?
Election manifesto (au kama unavyoiita party manifesto) ni ahadi ya kumnunulia mtoto pipi ukipata mshahara, hiyo siyo issue. Issue ni pale unapopata mshahara halafu humnunulii pipi.
Chadema hawajapata wizara, bali wamepata platform ya kuonyesha ni jinsi gani, senti kwa senti watatoa elimu ya bure mpaka chuo kikuu. Hii ingekuwa reflected kwenye bajeti kivuli ya wizara ya fedha na ultimately kwenye bajeti kivuli ya wizara ya elimu.

Hivyo ndivyo unavyopata appreciation kutoka kwa watu makini. Siyo kupiga kelele za pipoz pawa. Ebo!?
 
Mkuu sana Watu8 unaweza kunipa walau nchi moja nami nijifunze wapinzani waliotekeleza mpango huo?

Naanza kuona sasa vyama vya siasa kujiingiza katika biashara ya real estate!

Sina mfano wa vyama vya siasa isipokuwa nina mfano wa watu binafsi ambao wameweza kujenga barabara na miundombinu mingine na kuifanya itumike bure kwa wananchi...

Hivyo nikafikiria jambo kama hili kwa nini wapinzani hapa kwetu wasijitutumue na kulifanya ili kuaminika kwa wananchi...

Wengi hapa sidhani kama wameelewa dhamira yangu kuandika hivi kiasi kwamba wameenda mbali wakidhani naitetea serikali ya CCM...jamani hivi kuushauri upinzani maana yake upo u mtu wa serikali?

Hebu jiulize fursa ambazo yule Bw. Sabodo alikuwa anazitoa kwa CDM, hivi zilitumikaje kuwanufaisha CDM na wananchi pia?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom