akasigaji kanu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 204
- 55
Fursa huwa haisubiriwi hadi upewe bali unaitafuta ilipo na kuinyakua...
Wananchi sisi tutawapaje hawa wanaotegemea sauti zao pekee, wanapaswa kuwa wanaharakati wakati huo huo wanasiasa...
Wanapaswa kuamsha hamasa ya maendeleo kwa wananchi si hadi wapewe nchi...
Huo uwanaharakati ndo wanao ufanya lakini nafikili wewe sio mgeni hapa Tanzania umeshuhudia nguvu kubwa inayotumika kuwazima nawakati mwingine hadi kumwaga damu