Mahmoud Ahmadinejad working as professor again

Mahmoud Ahmadinejad working as professor again

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Mahmoud Ahmadinejad, a man who has been one of the most powerful men in Iran in the last couple of years and gave the West headaches through his fiery rhetoric about Israel and the development of the Iran’s nuclear program, has returned to his original profession, teaching.After the expiry of his second term he decided to withdraw from political life and start working again as a professor and teach at the University of Science and Technology.
A situation where the highest state official and a man who wielded enormous power subsequently returns to his humble position as a university professor job is hard to imagine.
However, the former Iranian president now takes the a bus to work every day and, judging by the photo, looks content.
Mahmoud-Ahmadinejad-bus.jpg

Mahmoud-Ahmadinejad-foto-2.jpg
 
Ni mfano wa kuingwa na kina mkapa ... Wapande madaladala na wao
 
Ulimwengu wa leo una mengi ya kujifunza. Yaani Rais wa Kiafrika apande Public Transport?, Hata ungekuwa mzuri kiasi gani. Wao wakishaingia kwenye siasa kila kitu wanaona si hadhi yao. Namuomba Mwenyezimungu anipe hekma za namna hii badala ya hekma za ufisadi na majivuno.
 
Choka mbaya hiyo,,,,
Siyo choka mbaya, ni ushahidi kwamba hakuwa muovu kwa watu wake alipokuwa madarakani kama hawa wa kiafrika. Hawa wa kwetu ni waovu kwa hiyo wanaogopa kila kitu. Pia hizi nchi nyingi za kipato cha wastani na juu si fahari "kuendesha" kama huko kwetu. Kuna Maprofessa wana magari zaidi ya matatu ndani ya nyumba zao lakini wanapanda Public Transport kwenda kazini. Ni suala la ufanisi tu wa usafiri wa umma na kutokuwa washamba wa magari.
 
Ni mfano wa kuingwa na kina mkapa ... Wapande madaladala na wao

Watapanda baada ya kutafakari walichoifanyia Tanzania kama kilikuwa sahihi ama la wakati wa mihula yao. Ila kama watagundua hawakuifanyia sahihi Tanzania 'take it from me' kamwe hawatapanda 'madaladala'.
 
Angekuwa fisadi asingepanda hilo basi; wananchi wangemfanyizia kwa hasira!!
 
Maprofessor wetu wakienda kwenye siasa mpaka taaluma zao zinaozea kabatini mpaka wakapofariki, wako tayari kutoa na kula rushwa ili mradi waendelee kubaki hukohuko uprofessor unakufa
 
Wapi mzee Mwinyi na Mkapa.Je,wanaweza kufanya hivi?
 
Back
Top Bottom