SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
nadhan labda ni afrika tu ndio marais wastaafu hawatathubutu kutembea mitaan hovyo kuhofia uhalifu waliokua wakiufanya dhidi ya raia wao!!!
Ni kweli kabisa
nadhan labda ni afrika tu ndio marais wastaafu hawatathubutu kutembea mitaan hovyo kuhofia uhalifu waliokua wakiufanya dhidi ya raia wao!!!
Angekuwa fisadi asingepanda hilo basi; wananchi wangemfanyizia kwa hasira!!
Mzee wa ruksa alikuwa na walinzi, lakini alizabwa "ze kibao".... sembuse kupanda daladala!!Angekuwa fisadi asingepanda hilo basi; wananchi wangemfanyizia kwa hasira!!
haiayyyaaaaaaaa... naanza kuhurumia "ze toto" wa chuo atakacho enda kufundisha..i mean Zittoamazing! Africa kuna kitu cha kujifunza hapa. In Europe and America hii si kitu kigeni, mf.aliyewahi kuwa secretary of State, Condoleza Rice (PhD) wa USA alipostaafu alirudi kufundisha chuo kikuu. nimekuwa nikimsikia pia Rais wa DRC Congo (former Zaire), ndugu Joseph Kabila, akisema akimaliza kilitumikia taifa lake kwa dhamana aliyonayo sasa angependa kusoma uwandishi wahttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/eyeroll habari na kufanya kazi kama journalist, dunia inasubiri kuona! kwa hapa Tanzania, nimemsikia Mbunge, ndugu Zitto Kabwe akisema ikifika 2015 hatangombea tena ubunge wala wadhifa mwingine wowote bali angependa kufundisha Uchumi katika chuo chochote atakacho pata. ni jambo zuri kwa wote wenye nia hii nzuri, bravo!!!kwani wataalamu wengi Africa wanakimbilia kwenye siasa kwa sababu inalipa zaidi kuliko fani zingine, however, wanaweza kuwa wageni waalikwa (visiting guest/lecturers) katika vyuo vyetu ili kuchochea ari ya kusoma na kujifunza katika fani za uweledi walio nao!
Wapi mzee Mwinyi na Mkapa.Je,wanaweza kufanya hivi?
MZEE RUKSA-MWINYI anatumia tsh800m kwenda kupima presha UK,Mkapa ndio na nchi kahama kabisa
haiayyyaaaaaaaa... naanza kuhurumia "ze toto" wa chuo atakacho enda kufundisha..i mean Zitto
Lowassa alistaafu lini maana ninavyojua mimi alijiuzulu.Weka rekodi sawa baba,Hawa washazeeka. Lowasa anaweza? Kastaafu u PM bado kijana, ushawahi hata kumuona kwenye mabasi yaendayo kasi?
Kikwete akimaliza tutamuona sana. Haswa shughulini na misibani