tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
Anashangaza huyu.Nani kakwambia kukaa madarakani muda mrefu bila kufanya uchaguzi kuna okoa pesa?
Anashangaza huyu.Nani kakwambia kukaa madarakani muda mrefu bila kufanya uchaguzi kuna okoa pesa?
Ulishasema Rais wa FIFA, sasa unauliza nchi ya nini. Au unataka kutumabia na Palestina ni kama ilivyo TFF, FIFA na TUCTA. Maana hao pia wana Marais. Au siwa na Rais wa DARUSO?Mkuu kwani rais wa FIFA duniani nchi yake iko wapi na sarafu ipi anatumia?