Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

Swahiba shukrani... kwahiyo nikizichukua sitakuwa nimeingia cha kike? Nahofia bei zake kama hailipi....
Ni nzuri mkuu ulizia alie wahi kutumia pia zipo ndogo za 140000 kama hii
9c8ecfd2809ea7272a6588cd7a72834f.jpg
 
Majiko ya umeme na gesi ya kisasa
TV, REDIO , home theater music system
Feni AC za KISASA
Chain saw water pump na majenereta
Meza za TV na za kawaida za kisasa
Water dispenser, Brenda, juicer machine
Mashine za popcorn
Mashine za Icecream
Pasi za Umeme za kisasa
Solar panel na betri zake

= blender
 
Swahiba shukrani... kwahiyo nikizichukua sitakuwa nimeingia cha kike? Nahofia bei zake kama hailipi....
Bei iko fair hakikisha tu inakua na warranty kuna zinzine niliziona pale mlimani bei yake inacheza 200000 na zina warranty 1 year
 
Bei iko fair hakikisha tu inakua na warranty kuna zinzine niliziona pale mlimani bei yake inacheza 200000 na zina warranty 1 year
Shukrani swahiba. Ngoja nifanye ziara pale niachane na utumwa wa mafeni
 
a00aaf859fcbc1f3ecdad5abe17f3e6e.jpg

Majiko ya umeme na gesi ya kisasa
TV, REDIO , home theater music system
Feni AC za KISASA
Chain saw water pump na majenereta
Meza za TV na za kawaida za kisasa
Water dispenser, Brenda, juicer machine
Mashine za popcorn
Mashine za Icecream
Pasi za Umeme za kisasa
Solar panel na betri zake
Mkuu Fridge unazo?
 
a00aaf859fcbc1f3ecdad5abe17f3e6e.jpg

Majiko ya umeme na gesi ya kisasa
TV, REDIO , home theater music system
Feni AC za KISASA
Chain saw water pump na majenereta
Meza za TV na za kawaida za kisasa
Water dispenser, Brenda, juicer machine
Mashine za popcorn
Mashine za Icecream
Pasi za Umeme za kisasa
Solar panel na betri zake
mkuu nahitaji diesel pump unayo?
 
Back
Top Bottom