Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

356c852f80d458f22d9857a8915647b9.jpg
mkuu hy lg Lita 450
Price 1980000
Hizo za bei kubwa achana nazo, nahitaji ambayo ni affordable laki nne au close to that.
 
Flat screen kuanzia size 32" hadi 50", Star x, Rising, Panasonic. Bei zake.
c6009f31f15db66d86b677e1b4dde912.jpg
nchi 32
Price 580000 Panasonic
Nchi 40 885000
Nchi 50
Price1300000 bei
Price
8fd45f87a010bd3196e3bd0994b5e39c.jpg
hii Panasonic pia nch 32 550000 bei zake zinaendana
 
a00aaf859fcbc1f3ecdad5abe17f3e6e.jpg

Majiko ya umeme na gesi ya kisasa
TV, REDIO , home theater music system
Feni AC za KISASA
Chain saw water pump na majenereta
Meza za TV na za kawaida za kisasa
Water dispenser, Brenda, juicer machine
Mashine za popcorn
Mashine za Icecream
Pasi za Umeme za kisasa
Solar panel na betri zake
ndgu naomba picha ya icecream machine na price zake
 
e2c948296a4958a152aa6189d1a9ee83.jpg
Linda TV yako kwa matatizo ya umeme ya kukatika ghafla na kurudi jipatie TV guard kwa bei nafuu
Price 40000
 
39d1476de509070d4e9eace1a66dd468.jpg
Linda friji yako kwa matatizo ya umeme kukatika ghafla na kurudi
Price 40000
 
8cc0bcf713290fea976fc926f5f4c45a.jpg
jipatie jiko kubwa la oven plate 4 mbili gesi mbili umeme
Price 1750000
 
Vipi washing mashine zipo. Maelezo yake kidogo kuhusu size na utendaji wake pia ni washing and drying. Bei zake pia zikoje
 
Back
Top Bottom