Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

1da45c62d42df47b4dbc36cc634b8f9d.jpg

230000
 
Vipi washing mashine zipo. Maelezo yake kidogo kuhusu size na utendaji wake pia ni washing and drying. Bei zake pia zikoje
09dedc23a0f9a1d7efdd06caef5850ef.jpg
hiii mkuu unaweka nguo zote maji yakutosha na sabuni yakutosha inachanganya yenyewe inanyonya maji na inamwaga pia mara y pili inasafisha pia we unatoa nguo nakuzipasi to
Price 690000
 
691e6de18ddcc5d7f5e704cd8a7b9033.jpg
price 200000/=
Mob 0672851415
Tupo Kariakoo msimbazi Azania BENKI
Mikoani tunatuma pia
Hii meza nimeipenda ila nina watoto wadogo wa miaka 3 na 4 wataibakiza salama?
Kama unanyingine ikawa salama kwa watoto niwekee picha..
 
09dedc23a0f9a1d7efdd06caef5850ef.jpg
hiii mkuu unaweka nguo zote maji yakutosha na sabuni yakutosha inachanganya yenyewe inanyonya maji na inamwaga pia mara y pili inasafisha pia we unatoa nguo nakuzipasi to
Price 690000
Machine ya 10kg napata?
 
Back
Top Bottom