Mahitaji ya bidhaa wasiliana nasi

Amani mfaume

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
3,263
1,397
a00aaf859fcbc1f3ecdad5abe17f3e6e.jpg

Majiko ya umeme na gesi ya kisasa
TV, REDIO , home theater music system
Feni AC za KISASA
Chain saw water pump na majenereta
Meza za TV na za kawaida za kisasa
Water dispenser, Brenda, juicer machine
Mashine za popcorn
Mashine za Icecream
Pasi za Umeme za kisasa
Solar panel na betri zake
0672852415
 
a00aaf859fcbc1f3ecdad5abe17f3e6e.jpg

Majiko ya umeme na gesi ya kisasa
TV, REDIO , home theater music system
Feni AC za KISASA
Chain saw water pump na majenereta
Meza za TV na za kawaida za kisasa
Water dispenser, Brenda, juicer machine
Mashine za popcorn
Mashine za Icecream
Pasi za Umeme za kisasa
Solar panel na betri zake
Mna zile kiyoyozi portable za kutumia maji?
 
Ifafanue kwa upana zaidi mkuu
Siku hizi kuna vitu wanaita "portable air conditioner". Haziwekwi ukutani... unatembea nayo popote pale ndani kama feni...inachapa kazi balaa...nataka nizitumie kama mbadala wa feni na AC kwakuwa ni rafiki kwa ulaji wa umeme...

Sijui kama nitakuwa nimekujibu ila ukiulizia washindani wako lazima watakuwa wanazijua... ni hotcake kwa sasa...
 
Ndy hy nimekuwekea picha mkuu hy 490000 ndogo yake 240000 mkuu unahitaji ipi
 
691e6de18ddcc5d7f5e704cd8a7b9033.jpg
price 200000/=
Mob 0672851415
Tupo Kariakoo msimbazi Azania BENKI
Mikoani tunatuma pia
 
c02dfcfc991d74059634244efeb328cf.jpg
water dispenser
Price 280000
Mob 0672852415
Kariakoo msimbazi Azania Benk
Mikoani tunatuma
 
826f678bb17db661977cdce0821e61ae.jpg
feni za kisasa inatoa mvuke wenye kuuwa wadudu price 210000
Mob 0672852415
Kariakoo msimbazi Azania Benki
Tunatuma popote Tanzania
 
Siku hizi kuna vitu wanaita "portable air conditioner". Haziwekwi ukutani... unatembea nayo popote pale ndani kama feni...inachapa kazi balaa...nataka nizitumie kama mbadala wa feni na AC kwakuwa ni rafiki kwa ulaji wa umeme...

Sijui kama nitakuwa nimekujibu ila ukiulizia washindani wako lazima watakuwa wanazijua... ni hotcake kwa sasa...
zinaitwa air coolant ,hua zinatumia maji na air (mode ya function ) ila unaweza ukaweka na barafu inatema upepo mwanana kama AC
 
36c0bbbd8a8089bd792b35675a28c9a6.jpg
TCL AC BTU 12
Price 930000
Mob 0672852415
Tupo Kariakoo msimbazi Azania Benki

Tuna tuma popote Tanzania
 
zinaitwa air coolant ,hua zinatumia maji na air (mode ya function ) ila unaweza ukaweka na barafu inatema upepo mwanana kama AC
Swahiba shukrani... kwahiyo nikizichukua sitakuwa nimeingia cha kike? Nahofia bei zake kama hailipi....
 
Back
Top Bottom