Mm ni ninayo mahindra Arrow ni pikk piki nzuri ,imara na nyepesi kuchanganya kwenye mwendo 1 lita moja inanipa kilomita 55 kwenye high way
Ila bei yake ni mkasi muhindi anauza milion 2.2 mkuuu nunua huwezi kujuta kabisa ...haiharibiki hovyo imetumja technologia ya honda 110 ....na spea zake nyingi zinaingiliana na honda one ten
Inatumia mfumo wa timing chain ambao inafanya kuwa injini kuwa na mzunguko mkubwa zaidi na kutumia mafuta madogo
Ni piki piki bora sana , kwa piki piki zinazotengenezwa kutoka india
Baadhi ya spea zinaingiliana na boxer kama vile taaa na mfumo wa umeme ni kama boxer inafua umeme wa taa ya mbele inawashwa na magnetor
Hivyo kufanya betri idumu bila kusumbua ...na kufa kwa haraka
Tairi ya mbele ni size 2.75 kwa 18 nyuma inatumia tairi ya 300 kwa 18 hivyo kuifanya ikate upepo kwa haraka na urahic na kuifanya kuwa nyepesi max load ya mzigo ni kilo 200 imetengenezwa kuhimili kubeba watu wawili
Changamoto yake
Mafundi wa kuitengeneza ni wale ambao wamebobea katika piki piki za japan ....hivyo unapaswa kuwa makini sana na mafundi wa mtaani
Pia inahitaji kutumia oil nzito kidogo zile zenye visty coasty kubwa , epuka kununua oil za bei rahic
Ina bomba ngumu zinazuia injini isipate mkwaruzo wala tenk kubondeka pindi inapopata ajali
Naomba kuwasilisha
sent from toyota Allex