Mahindra motorcycles

Mahindra motorcycles

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
Habari za sasa wana jf, nmekua nikitamani Sana kununua pikipki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi, Mimi sio mzoefu Sana kwenye haya mambo na hivyo nikaona naweza kupata msaada apa jf. Mpaka sasa kuna kautafiti nimefanya na pikipiki aina ya mahindra zimenivutia sana., sasa kwenu ninyi wazoefu wa pikipiki, je hili ni chaguo sahihi? Au kuna nyingine nzuri zaidi ya hiyo na bei zikawa zinaendana? , bajeti yangu ni around milioni 2. Naombeni ushauri wenu Tafadhali.
408eef5c377b2e609eef93ca71a13651.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari mkuu. kwa pikipiki mkuu, mimi nauza pikipiki za honda.

Bei za pikipiki zetu

1) honda ace 125 cbd toleo la mwanzo - mil 2.9
2) honda ace 125 cbd toleo mpya - mil 3.0
3 honda ace 125 cb toleo mpya - mil 3.0
4) honda tuf 125 rough road - mil 3.1

kama unaweza ukaongeza pesa chukua moja wapo ya kati ya hizi pikipiki. punguzo ipo. ukihitaji picha whatsapp basi nitafute 0689-866100, 0717-518359.
 
Mkuu chukua pikipiki aina ya hero kuliko mahindra na hutojutia uamuz wako. Kwanza hero ni imara, hazina mtetemo na bei yake ni nafuu na hazinywi sana mafuta lita 1 kilomita 60 had 70. Mimi nilikuwa na hero cc 100 na sasa nina hero cc 125 na nina mwaka tangu niinunue na haijawai kusumbua chochote zaidi ya service ndogo ndogo kila baada ya miez mi3
 
Tatu siwezi kufika kaka ... Ninayo 2 tu ikiongezeka labda laki moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu chukua pikipiki aina ya hero kuliko mahindra na hutojutia uamuz wako. Kwanza hero ni imara, hazina mtetemo na bei yake ni nafuu na hazinywi sana mafuta lita 1 kilomita 60 had 70. Mimi nilikuwa na hero cc 100 na sasa nina hero cc 125 na nina mwaka tangu niinunue na haijawai kusumbua chochote zaidi ya service ndogo ndogo kila baada ya miez mi3
Asante kwa ushahuri bro, hiyo hero bei kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za sasa wana jf, nmekua nikitamani Sana kununua pikipki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi, Mimi sio mzoefu Sana kwenye haya mambo na hivyo nikaona naweza kupata msaada apa jf. Mpaka sasa kuna kautafiti nimefanya na pikipiki aina ya mahindra zimenivutia sana., sasa kwenu ninyi wazoefu wa pikipiki, je hili ni chaguo sahihi? Au kuna nyingine nzuri zaidi ya hiyo na bei zikawa zinaendana? , bajeti yangu ni around milioni 2. Naombeni ushauri wenu Tafadhali.
408eef5c377b2e609eef93ca71a13651.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna jirani yangu hapa Sinza alianguka na pikipiki ya Mahindra karibia miezi 5 iliyopita. Chanzo kilikuwa chuma, yaani alikuwa anaendesha alipofika Keko kuna kijichuma pale kwenye kitako alichokaa kilifyatuka na kumuingia tigoni kana kwamba anapigwa kidole. Jamaa alishituka na kukosea stepu ndipo akajikuta anarusha pikipiki na kuanguka vibaya. Mpaka sasa bado anachechemea. Mahindra hiyo, wanapenda kushikisha watu ukuta bila matarajio.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ajali tu unaweza pata kwa piki piki yoyote .... Vp hyo pikipiki yake bado inafanya kazi

Alimuuzia muhindi fulani kule kule keko na hataki tena kuwa na pikipiki.....anadai kama ikitokea atapanda tena pikipiki lazima avae helmet ya makalio ili yasimkute ya awali.
 
Kuna jirani yangu hapa Sinza alianguka na pikipiki ya Mahindra karibia miezi 5 iliyopita. Chanzo kilikuwa chuma, yaani alikuwa anaendesha alipofika Keko kuna kijichuma pale kwenye kitako alichokaa kilifyatuka na kumuingia tigoni kana kwamba anapigwa kidole. Jamaa alishituka na kukosea stepu ndipo akajikuta anarusha pikipiki na kuanguka vibaya. Mpaka sasa bado anachechemea. Mahindra hiyo, wanapenda kushikisha watu ukuta bila matarajio.
Hiyo pikipiki au alikuwa MTU??
 
OkQUOTE="nover, post: 22504877, member: 79707"]Asante kwa ushahuri bro, hiyo hero bei kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Inategemea mkuu unataka hero ya cc ngap mfano kuna cc 100 125 na 150, mimi nilinunua ya cc 125 kwa 1.9 million mwaka mmOja uliopita na sijajutia uamuz wangu
 
Back
Top Bottom