Najikuta nacheka mwenuewe JF sitokiMungu nI wa tofauti sana watoto wadogo wanafariki kila siku lakini hili zee, bado linakomaa kuishi licha ya mungu kuweka limit 70.
Zee bishi kama ninini
Najikuta nacheka mwenuewe JF sitokiMungu nI wa tofauti sana watoto wadogo wanafariki kila siku lakini hili zee, bado linakomaa kuishi licha ya mungu kuweka limit 70.
Zee bishi kama ninini
hivi mtu kutoka bara aliwahi kuwa rais zanzibar??maana najua bara ishapata marais kutoka zenji
Charity begins at homeMzee hajali madhila yanayowapata watanzania kutokana na utawala huu yeye anaangalia familia yake tu.
Duuh.. anasikitikia nchi yake kudumu utumwani
Kwani mwinyi snr alikuwaje?Kwani inaruhusiwa, uwe rais Zanzibar tena uje bara ugombee urais?
akifa utafurahi?Mungu nI wa tofauti sana watoto wadogo wanafariki kila siku lakini hili zee, bado linakomaa kuishi licha ya mungu kuweka limit 70.
Zee bishi kama ninini
AMwinyi hawamtaki kabisa wazanzibari..... Rais ni SEIF
Siyo kila mzee anabusara hata wajinga huzeeka. Taifa linapelekwa kwenye mfumo wa familia taratibu na Kuna ambao wanaofanya hivyo kujiwekea Kinga kwa makosa waliofanyaRais mstaafu, Ally Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa CCM leo amesema kuwa katiba lazima iheshimiwe lakini Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata.
Mahesabu yake haya hapa, Magufuli akiongezewa miaka mitano maana yake mwanaye atakuwa katimiza miaka kumi kama Rais wa Zanzibar hivyo Magufuli akiongeza muda wake huo wa nyongeza atamwachia kijiti cha urais mwanaye Hussein Mwinyi ambaye tayari ataonekana ana uzoefu wa miaka kumi.
Mahesabu makali ya mzee Mwinyi ndio haya.
View attachment 1503861
Yes......hata kina Trump ni wazee wa shikamoo.Seif mzee wa Shikamoo
The old man is very selfish and poisonousRais mstaafu, Ally Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa CCM leo amesema kuwa katiba lazima iheshimiwe lakini Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata.
Mahesabu yake haya hapa, Magufuli akiongezewa miaka mitano maana yake mwanaye atakuwa katimiza miaka kumi kama Rais wa Zanzibar hivyo Magufuli akiongeza muda wake huo wa nyongeza atamwachia kijiti cha urais mwanaye Hussein Mwinyi ambaye tayari ataonekana ana uzoefu wa miaka kumi.
Mahesabu makali ya mzee Mwinyi ndio haya.
View attachment 1503861
Wazanzibari....Aliye kuambia ni yupi?
A
Anaanza Hussein Mwinyi huyo kazaliwa bara , yaani hata katiba ya Zanzibar Imevunjwa openly ,mgombea urais anatakiwa awe amezaliwa Zanzibar.