Rais mstaafuAlly Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa ccm leo amesema kuwa katiba lazima ihedhimiwe lakini rais Jpm aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata.Mahesabu Yake haya hapa ,Jpm akiongezewa miaka mitano maana yake mwansye atakuwa katimiza miaka kumi kama rais wa Zanzibar , hivyo Jpm akimsoiza muda wake huo was nyongeza atamwachia kijiyi cha urais mwanaye Hussein Mwinyi ambaye tayari ataonekana ana uzoefu wa miaka kumi.Mahesabu Makali ya mzee Mwinyi ndio haya.