- Thread starter
- #41
Kuna mwanamke (alikuwa girlfriend wangu) niliachana nae baada ya mi kusafiri kwa muda mrefu,hata kuachana kwenyewe ilikuwa ni kwa kupoteza mawasiliano. Huwezi amini zaidi ya miaka mitano imepita lakini tukionana (nikienda mkoani) hana khiana na mimi kabisa,najishikia mkono tu na kumuelekeza kibla. Mbaya zaidi amekuwa demu wa ndugu wa rafiki yangu.
......yeeeeeeeeeeeeuwiiiiiiiii!! Mungu moja!