Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo maneno hata mimi sikuyawaza sana kitofauti, ndo maana nilisema kasentensi sikapendi.Kama definitions ndo hizo tulizoambiwa nakubaliana kuwa hawana sababu ya kuachana, labda kama wamechokana na kuamua kila mtu kuchukua hamsini zake....lakini watu wengi wanachukulia kama X, kuwa maX hawaachani, hapo ndo ninapokachukia hako kasentensi, kwangu hakajawahi kuwa na ukweli
ha haaa, kweli kabisa mtani.....Mtani mimi mwenzenu huwa nipo hivi, kama mleta mada akiwa hana uelewa wa kile alichokiandika mara nyingi huwa siwezi kujadili huo mijadala.Kuna utofauti mkubwa wa msamiati "Hawara" na "Mpenzi wa Zamani":::Mpenzi wa Zamani = Huyu huwa ni mwanaume au mwanamke ambaye alikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini kwa sasa uhusiano huo unakuwa umevunjwa au kuvunjika.Hawara = Huyu pia huwa ni mwanaume au mwanamke mwenye kuwekwa kinyumba au kufanywa suria na mtu aliye ndoani au kwenye mahusiano ya kimapenzi.Kwa mantiki hiyo lazima tuwekane sawa kwanza kabla ya kuendelea na mjadala...
Nini hiyo kwenye green?
kiukweli kabisa haka kasentensi sikapendi hata kidogo.....
Kila nikikasoma kananitia hasira
hayo maneno hata mimi sikuyawaza sana kitofauti, ndo maana nilisema kasentensi sikapendi.
Kama definitions ndo hizo tulizoambiwa nakubaliana kuwa hawana sababu ya kuachana, labda kama wamechokana na kuamua kila mtu kuchukua hamsini zake....
Lakini watu wengi wanachukulia kama x, kuwa max hawaachani, hapo ndo ninapokachukia hako kasentensi, kwangu hakajawahi kuwa na ukweli
teh teh tehhhhhh, Lisa my dear.... mimi huwa sipendi kabisa kuusemea upande wapili, lol!Fp, naunga mkono hoja ya kukachukia haka ka sentensi, sijui anatuambia nn kuhusu ndoa zetu au waume zetu, kuwa wale wanawake zao ambao walikuwa nao kabla yetu bado wanaendelea nao??? au:shock::shock::shock:?????
kiukweli kabisa haka kasentensi sikapendi hata kidogo.....
kila nikikasoma kananitia hasira
kwa bahati nzuri sana huwezi kumkataza mtu asiwaze kitu fulani...... you are free kuwaza chochote my dearInaelekea wewe ulisharudiana na hawara wako alafu ukaja kujilaumu!!!
kiukweli kabisa haka kasentensi sikapendi hata kidogo.....
kila nikikasoma kananitia hasira
naamini maneno yako my dear haya i dont judge a book by its cover!!!!kwa bahati nzuri sana huwezi kumkataza mtu asiwaze kitu fulani...... you are free kuwaza chochote my dear
ila sio kiporo cha ,mihogo mweeh hakiendi hata kwa maziwaHehehe best, wanasema mtalaka hatongozwi. Na kupasha kiporo haihitaji moto mwingi )pata picha cha maharage lol)
at right time and place,they can recall!
.....ni kweli sio vema kuamini kila kitu lakini sema wewe mtazamo wako, kuna kaukweli kwenye hii mada?Ukiamini kila unachokisikia utaamini mengi ya uzushi..
Hawaachani hadi mmoja afe!!!!!!
Ndugu mleta mada,maneno mahawara na X's yana uhusiano upi?
Napita.... Sirudi ng'o!!!
......nataka kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani, ila unazungumzia mazingira yapi?Inategemea na mazingira ya siku za mwisho za uhusiano wao.
........pole sana, but jitahidi kuwa mvumlivu pale mambo yanavyoenda ndivyo unavyotaka, pole! kwa hio hawaachani wanaachan, plz toa maoni!kiukweli kabisa haka kasentensi sikapendi hata kidogo.....
kila nikikasoma kananitia hasira
.....wewe acha hizo bhana, sasa itakuaje sasa kwetu tunaotaka kuoa? maanake tujipange kutoa flava nzuri nzuri ama?Inategemea mliachana kwa lipi.Kama ulimuacha mwenzio kwakuwa kuna sehemu umeahidiwa ndoa,then ukaenda kuolewa na baadae ukagundua kuwa hakuna jipya sana zaidi ya ile sherehe ama una share interest nyingi na yule uliyemuacha kuliko huyu mwandani wako nadhani nirahisi kurenew kauhusiano kamwanzo ili kupata kale kaflavour ulikokamisi kama jamaa hatojali.
....mada kuu inahusu mahawara, vp wanaachana hawaachani, jikite huko mkuu!!kuna tofauti ya hawara na X! sasa wewe unamaanisha nini?
yeto.......
mi mwenyewe kama kuna kitu kimeclick katika mind yangu........,
lakini hivi X na hawara ni sawa
Asante kwa kunijibia swali aliloniuliza Evelyn Salt, sasa unaweza kuendelea kumjibu ni kwanini haka kasentensi kanatia hasira....
Sorry for any inconvenience.
hayo maneno hata mimi sikuyawaza sana kitofauti, ndo maana nilisema kasentensi sikapendi.
Kama definitions ndo hizo tulizoambiwa nakubaliana kuwa hawana sababu ya kuachana, labda kama wamechokana na kuamua kila mtu kuchukua hamsini zake....
lakini watu wengi wanachukulia kama X, kuwa maX hawaachani, hapo ndo ninapokachukia hako kasentensi, kwangu hakajawahi kuwa na ukweli
......anamaanisha time mkuu!Nini hiyo kwenye green?
Mtani mimi mwenzenu huwa nipo hivi, kama mleta mada akiwa hana uelewa wa kile alichokiandika mara nyingi huwa siwezi kujadili huo mijadala.Kuna utofauti mkubwa wa msamiati "Hawara" na "Mpenzi wa Zamani":::Mpenzi wa Zamani = Huyu huwa ni mwanaume au mwanamke ambaye alikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini kwa sasa uhusiano huo unakuwa umevunjwa au kuvunjika.Hawara = Huyu pia huwa ni mwanaume au mwanamke mwenye kuwekwa kinyumba au kufanywa suria na mtu aliye ndoani au kwenye mahusiano ya kimapenzi.Kwa mantiki hiyo lazima tuwekane sawa kwanza kabla ya kuendelea na mjadala...
....namaanisha km watu8 alivyotoa ufafanuzi!, sasa endelea @fpha haaa, kweli kabisa mtani.....
ngoja TheDealer aje atuambie alikuwa anamaanisha nini then tuendelee na mjadala
Mtani mimi mwenzenu huwa nipo hivi, kama mleta mada akiwa hana uelewa wa kile alichokiandika mara nyingi huwa siwezi kujadili huo mijadala.Kuna utofauti mkubwa wa msamiati "Hawara" na "Mpenzi wa Zamani":::Mpenzi wa Zamani = Huyu huwa ni mwanaume au mwanamke ambaye alikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini kwa sasa uhusiano huo unakuwa umevunjwa au kuvunjika.Hawara = Huyu pia huwa ni mwanaume au mwanamke mwenye kuwekwa kinyumba au kufanywa suria na mtu aliye ndoani au kwenye mahusiano ya kimapenzi.Kwa mantiki hiyo lazima tuwekane sawa kwanza kabla ya kuendelea na mjadala...
Hehehe best, wanasema mtalaka hatongozwi. Na kupasha kiporo haihitaji moto mwingi )pata picha cha maharage lol)