Bora ubebwe tu ayo ni matesoUsipo tembea utabebwa mgongoni
Pesa mwanaharamu sanakwa nini?
Ana nukta itakuwaMmmh!!!Hebu twambie kwa uzoefu wako huyu jamaa ana kitu au kakitu?
Kwa upande wa huyo dada mie nimeshindwa kumtathmini labda ningeona vidole vyake haswaa vya miguuni.
Mapenzi ya kweli ni kitu cha ajabu sana..!!
Itabidi bibie ampe mazoezi ya nguvu hadi ndambi ikate,la sivyo amtafutie msaidizi wa shughuli pendwa.Ana nukta itakuwa