Mahari za Wahaya

Mwanamke akishapigwa.mimba hawezi kuwa sawa na ambaye hajapigwa mimba.Hata wazee wawe mabandidu vipi mimba huwa zinapunguza ubandidu.Kuzalia nyumbani sio poa kabisa.Ila ukiona kuna dalili ya mahali kubwa ni mimba tu.
 
Kiswahili kinakufa hivihivi tunakiona, inauma.

Mahali = sehemu, eneo
Mahari = kitu/fedha itolewayo kwa familia ya mwanamke wakati mwanamme anapotaka kuoa

asante kwa kunirekebisha.turudi kwenye mada,una uelewa wowote kuhusu mahari za wahaya?
 
Kuna kaka yangu alimuoa mhaya ila yeye alianza kwanza kumchapa mimba, baba yake kabla ya yote akatutoza faini ya 700,000.

Mahari milioni 3.

Tukaambiwa tununue..Crate la soda, mkungu wa ndizi, kitenge cha bibi..nk.
 
Mimi yamenikuta weekend hii nimeenda kumsindikiza rafiki yangu kupangiwa mahari kwa binti wa kisukuma tukaambiwa ng'ombe 28 na ghara ya kila ngombe wa mahari sh laki 3 hapo bado majembe,vitenge,mablanketi,shoka na kadhalika.Nikachoka alafu tukaambiwa haina majadiliano kama hamuwezi ondokeni mkajipange.Kwa hizi mahari watoto wa kike watazalia nyumbani tu.
 
Kwa kweli sijui..ila sidhani kama kuna watu siku hizi wanapeana ma-mahari makuuuubwa kiasi cha kukomoana! Ila ukienda ki-shomile lazima wakupige cha juu haijalishi ni kwa wahaya au wamakonde!
 
inategemea na nahitaji ambayo utaandikiwa vitu gani wanataka mfano kanzu,shuka LA shagazi,pombe in terms ya being ya kijijini no plus ng'ombe maelewano ni muhimu pia
 
Kuna kaka yangu alimuoa mhaya ila yeye alianza kwanza kumchapa mimba, baba yake kabla ya yote akatutoza faini ya 700,000.

Mahari milioni 3.

Tukaambiwa tununue..Crate la soda, mkungu wa ndizi, kitenge cha bibi..nk.
Mkuu hata mimi nimefanyiwa hivohivo........laki saba yao tiyari nshawapa ila hiyo milioni tatu bado.
 
Kuna kaka yangu alimuoa mhaya ila yeye alianza kwanza kumchapa mimba, baba yake kabla ya yote akatutoza faini ya 700,000.

Mahari milioni 3.

Tukaambiwa tununue..Crate la soda, mkungu wa ndizi, kitenge cha bibi..nk.

Dear mbona kidogo hizi ... Siye tunachaji zaidi ya hizi tena ukimzalisha ndugu ndio kabisaaaaaa.....It depends how bad you want a wife.. Ndio kupenda huko.... aahhaaaa.. (Natania) .. Thanks..
 
Mahari inategemeana mkuu, tafuta mshenga tena mzee wa kihaya then mwachie iyo kazi na wala husitishwe na mtu,
Nakuakikishia uyo mzee akiwa muongeaji mzuri mnaweza tozwa mahari hata mil. 1 haitafika, ni uongeaji wa uyo mshenga wako na jinsi atakavyojitetea!
Ila asilete ujuaji, ila wahaya n waelewa sana hakuna wa kukutoa mil 3, ila ukijipeleka kwa misifa watakupiga za uso
 
.....kuanzia Milioni mbili kwenda juu!!!
 
Dear mbona kidogo hizi ... Siye tunachaji zaidi ya hizi tena ukimzalisha ndugu ndio kabisaaaaaa.....It depends how bad you want a wife.. Ndio kupenda huko.... aahhaaaa.. (Natania) .. Thanks..
Nilipokuona TA nikadhani wa huko kumbe mbwenu..wagambak! waraileo mnta?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…