Mahari ya Single Mom

Mahari ya Single Mom

Kuoa single mom ni upuuzi mtupu tena kama kuna mtu yupo humu kaoa single mom ni mpuuzi wa dunia ya mwisho

Unawezaje kuoa chuma chakavu kijana ambaye unakuta hata mtoto huna unabaki kubebe jitoto la mwanaume mwenzio na kumuita eti mwanangu

Ni upuuzi wa kiwango cha juu sana ambao haujawahi tokea toka dunia iumbwe yaani unaoa single mom na unamtambulisha kwenu kabisa

Nasema tena ni upuuzi mkubwa sana kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwenzio yani unachukua mwanamke mwenye ushahidi kabisa kuwa alifanya uzinzi hadi akapachikwa mimba

Yaani mimi kama mzazi mwanangu wa kiume alete mwanamke aliyezaa aseme huyo ndiyo mchumba wallah nampiga shaba bila ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimpige risasi nipe kazi ya kumroga. usukumani wapuuzi kama hawa marufuku kuja.

Ntumbavu sana masingomama
 
Wanaowatia mimba wawaoe haohao.
Yani mtu unajitambua kabisa eti unaoa janamke lina mtoto labda upige mimba tu likuzalie ukae juu ya mti ila sio kumuoa singo MAMA
jamani embu tujikite katika kuwaelimisha hawa viumbe,maana si kila single mom aliyataka.wengine mazingira mbali mbali yaliwazoa.kwa wakati fulani hata huwa nalaumu wanafunzi kupata mimba.lakini nikitulia naona NO si busara kuwapa lawama jumpa jumpa namna hii,hasa ukizingatia mimba hawaangui kwenye mpapai.

imefikia hatua tumehama lengo sasa,lengo sio vita ya uzinzi bali vita ya mtu kuzaa,maana kama vita ingekiwa uzinzi tungekumbuka kwamba,mimba au mtoto ni dalili ya uzinzi tu sio tiketi.

hawa wasio na watoto wameto$₩@ sana na mimba wamechoropoa mpaka K zimekaa kama majani ya mboga spinachi,nao tusiwapulizie pafyum kwa kigezo cha kutokuwa na watoto.

AFADHALI NEUTRAL POINT IWE BIKRA,lakini sio kutozalishwa kabla ya ndoa.

hata single mother inawezekana alitoa mimba pia
 
Hivi kijana anayeoa unaanzaje kuoa single mother wakati wabichi wamejaa tele unaanzaje kumtambulisha kwenu kwa wazazi, mashangazi wajomba?

Binafsi kuoa mwanamke asiye na bikra nitajiuliza mara mbili mbili sembuse mfupa uliomshinda fisi mimi ndo nitauweza.
Mwanamke aliyezalia nyumbani hana sifa za kuwa mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila single mom kazalia nyumbani wengine waliolewa wakaachika na mtoto analea mwenyewe, wengine waliolewa wakafiwa na watoto wanalea wenyewe,

Wengi mnaowaponda Single Moms mmelelewa na hao hao Single Moms mnajipa moyo tu hapa.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
jamani embu tujikite katika kuwaelimisha hawa viumbe,maana si kila single mom aliyataka.wengine mazingira mbali mbali yaliwazoa.kwa wakati fulani hata huwa nalaumu wanafunzi kupata mimba.lakini nikitulia naona NO si busara kuwapa lawama jumpa jumpa namna hii,hasa ukizingatia mimba hawaangui kwenye mpapai.

imefikia hatua tumehama lengo sasa,lengo sio vita ya uzinzi bali vita ya mtu kuzaa,maana kama vita ingekiwa uzinzi tungekumbuka kwamba,mimba au mtoto ni dalili ya uzinzi tu sio tiketi.

hawa wasio na watoto wameto$₩@ sana na mimba wamechoropoa mpaka K zimekaa kama majani ya mboga spinachi,nao tusiwapulizie pafyum kwa kigezo cha kutokuwa na watoto.

AFADHALI NEUTRAL POINT IWE BIKRA,lakini sio kutozalishwa kabla ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wasio na watoto na wametoa mimba wana hukumu yao hapa tubajadili wenye watoto na hawakuolewa na walio watia mimba.

Suluhu kuu ni kuoa Bikira na si bambasi aka bombonya haya ni kupiga unaachana nalo
 
Sio kila single mom kazalia nyumbani wengine waliolewa wakaachika na mtoto analea mwenyewe,
Kwanini aachike hakufundwa?
Na hata kama ilimbidi atoke kwenye ndoa, atakayemuoa atoe mahari kiasi gani kwa kuzingatia picha ya mleta uzi?

wengine waliolewa wakafiwa na watoto wanalea wenyewe,
Akatafute wagane kwani hawapo, aje amletee nani mzigo kwanza ana gundu huyo tayari wakumuogopa kama ukoma.

Wengi mnaowaponda Single Moms mmelelewa na hao hao Single Moms mnajipa moyo tu hapa.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Hapa unakosea, wanaokubaliana na masingo mama ndio hao waliozaliwa na kulelewa na masingo mama, pia kuna waliowatia mimba wakawaacha nao ni supportive people.

Ila tuliozaliwa kwenye familia zinazojitambua hatuwezi sapoti ujinga.
 
Kwanini aachike hakufundwa?
Na hata kama ilimbidi atoke kwenye ndoa, atakayemuoa atoe mahari kiasi gani kwa kuzingatia picha ya mleta uzi?

Akatafute wagane kwani hawapo, aje amletee nani mzigo kwanza ana gundu huyo tayari wakumuogopa kama ukoma.

Hapa unakosea, wanaokubaliana na masingo mama ndio hao waliozaliwa na kulelewa na masingo mama, pia kuna waliowatia mimba wakawaacha nao ni supportive people.

Ila tuliozaliwa kwenye familia zinazojitambua hatuwezi sapoti ujinga.
Unaonesha una hasira sana na single moms,
Kuna aidha walikutenda au wapo home kwako,

Kua single mom sio kufeli maisha, wataolewa na watakaowahitaji, kuna watu wanajua wakipenda boga wanapenda na ua lake.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Kwa ndoa za siku hizi zilivyo, unaweza uoe fresh from college na ukajuta. Let love lead....kuna jamaa yangu alikuwa na magelofrendi wawili. Mmojawapo alikuwa single maza...akaamua kumuoa fresh from school...mwaka haukuisha..wametalakiana. Jamaa akaamua kumfata singo maza...duh. Mdada wa watu akagoma. Mpaka leo huyu jamaa akili yake haijakaa vizuri.
Huo ni mfano mmoja tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Magelofrend ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonesha una hasira sana na single moms,
Kuna aidha walikutenda au wapo home kwako,
Nawachukia mnooo masingo mama.
Maama najua ni matokeo ya uzinzi haijalishi alibakwa au alifanywa nini ni UZINZI TU.

Kua single mom sio kufeli maisha,
Nobody talked about this in the whole thread.

wataolewa na watakaowahitaji, kuna watu wanajua wakipenda boga wanapenda na ua lake.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Misemo ya kizamani hiyo, kwa hiyo nioe mama na mtoto?
Huna Bikra peleka bambasi lako kushoto
 
Swali langu halikutaka kushindanisha family yetu na ya kwenu, nlitaka kufahamu topic ya kujadili bikira ya Mama yako ulijadiri na nani kwa mlengo upi? kwa huu upuunzi unao andika unaokekana malezi yako yana shida sitaki kuongealea wazazi wako sababu nitakua nmevuka mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Upuunzi = Upuuzi
Nmevuka = Nimevuka

Haya kacheze unakochezaga maana hata uzi hujausoma toka mwanzo.

If i continue to argue with you tutaishia pabaya sana karoho kameanza kunichafuka.
 
Nawachukia mnooo masingo mama.
Maama najua ni matokeo ya uzinzi haijalishi alibakwa au alifanywa nini ni UZINZI TU.

Nobody talked about this in the whole thread.

Misemo ya kizamani hiyo, kwa hiyo nioe mama na mtoto?
Huna Bikra peleka bambasi lako kushoto
Sasa bro kwani kuna mtu amekwambia uoe single mom?
Kila mtu ana matamanio yake, wewe huwapendi wengine wanawapenda shida iko wapi?
Wewe unapenda bikra wengine wanazikimbia,

Ndio dunia inavyokua wote hatuwezi kufanana hata Identical twins wana difference sexual preference.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Sasa bro kwani kuna mtu amekwambia uoe single mom?
Nachangia uzi, mahari ya singo mama ni mwanaume kulipwa maana anajitwisha zigo lilowashinda makuri.

Kila mtu ana matamanio yake, wewe huwapendi wengine wanawapenda shida iko wapi?
Hizi ni dhiki tu na ukosefu wa akili.

Wewe unapenda bikra wengine wanazikimbia,
Nani huyo ambaye hapendi Bikra anapenda bambasi?😨
Yani ipo Hilux used na Mpya kwa bei sawa uchague used utakuwa mzima kweli?

Ndio dunia inavyokua wote hatuwezi kufanana hata Identical twins wana difference sexual preference.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
We're talking about life style not Biological differences.
Kuwa single mother ni option na kuzaliwa bubu sio option.

Wewe kama Culture nimekuletea Smart Tv straight from Germany kwa shilingi 20 wakati huohuo kuna mtu anayo kama yangu kwa bei ileile ila tayari kashaitumia na kwa fundi (leba) imeenda utanunua ipi?😂
 
Upuunzi = Upuuzi
Nmevuka = Nimevuka

Haya kacheze unakochezaga maana hata uzi hujausoma toka mwanzo.

If i continue to argue with you tutaishia pabaya sana karoho kameanza kunichafuka.
Mwenyez Mungu Mwenyewe alimuumba Hawa akiwa hana mtoto kisha akamleta kwa Adam inamaana mfano huo hamuuoni tu.....unaanzaje kuoa single mother kijana na akili zako timamu ujue chakwanza huyo single mother atakudharau kimoyomoyo
 
Back
Top Bottom