Mahari ya Single Mom

Mahari ya Single Mom

Idiot chafukwa saa hii son of b!ch

Sent using Jamii Forums mobile app
................Hahaha mzee ulipigwaga mahari ndefu nini ulipokokota hiyo single mom unayosaidiana nayo maisha?mbona umechafukwa kiasi hiko!

Wajanja hao wanaokotaga bure wewe ulikubalije kulipa mahari?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
................Hahaha mzee ulipigwaga mahari ndefu nini ulipokokota hiyo single mom unayosaidiana nayo maisha?mbona umechafukwa kiasi hiko!

Wajanja hao wanaokotaga bure wewe ulikubalije kulipa mahari?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
mkuu sina mke na ikitokea nikapata single mom nikamuelewa naoa coz sioi status yake naoa mke, siwezi kumudharau kisa ni single mom saa zingine ni bora alee mtoto peke yake kuliko kuishi na mwanaume mpumbavu, Mimi nalea mwanangu baada ya kugundua nataka kuoa malaya jaribu kupata picha hii kitu ingekua vice versa angekubali tu ili asiwe single mom?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjane siyo single Mama
..............................Pia mweleweshe mwanamke aliyefiwa na mumewe wa ndoa ana possibility kubwa kurudi tena kwenye ndoa kutokana na status yake haijakaa vibaya kama ambaye alizini akapeleka watoto kwa wazazi wake.

Pana gap kubwa sana hapa so single mama bado hana sifa za kufananishwa na mwanamke mjane.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyez Mungu Mwenyewe alimuumba Hawa akiwa hana mtoto kisha akamleta kwa Adam inamaana mfano huo hamuuoni tu.....unaanzaje kuoa single mother kijana na akili zako timamu ujue chakwanza huyo single mother atakudharau kimoyomoyo
Ubarikiwe mtumishi kazi yako Ileje inaonekana 😂
 
Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakaebeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Jamani .....tuwe na Soni ya maneno yani mwanamke kuzaa amekuwa kopo? Hata Kama sio matumizi sahii ya maneno.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila single mom kazalia nyumbani wengine waliolewa wakaachika na mtoto analea mwenyewe, wengine waliolewa wakafiwa na watoto wanalea wenyewe,

Wengi mnaowaponda Single Moms mmelelewa na hao hao Single Moms mnajipa moyo tu hapa.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
wajane na single mothers ni makundi mawili tofauti kabisa.hata kama wamelelewa na single mother ndo wasiseme ili kurekebisha?
 
Nawachukia mnooo masingo mama.
Maama najua ni matokeo ya uzinzi haijalishi alibakwa au alifanywa nini ni UZINZI TU.


Nobody talked about this in the whole thread.


Misemo ya kizamani hiyo, kwa hiyo nioe mama na mtoto?
Huna Bikra peleka bambasi lako kushoto
mzee kubakwa ni kesi nyingine.aliyebakwa hajafanya huo uzinzi unaosema
 
Back
Top Bottom