Mahari shilingi milioni 5?

Siku zote mtaka cha uvunguni sharti ainame.
 
Jamaa yangu kapata mwanamke alieachika na aliishi kwenye ndoa miaka 5 na ana mtoto wa miaka 9 ameambiwa mahari laki nne,nimemwambia potezea kwanza,ila dem kakomaa wanataka laki nne,majanga kweli.
hii michezo hatari , ...sana mkuu kuna mchizi wangu alipata dem akataka aoe , dem ameshakua na mahusiano takribani matatu , dem akampenda mchizi na mchizi akarespond kutaka kuoa dem anamtaka mchizi atoe m3 kama mahali jamaa, akaona anazinguliwa ...bora hata angekuwa bikra ...
 

...dah aseee siku izi wanawake wa kuoa wananunuliwa kama material things na kama wanawake wa pale posta wanaojiuzaaaaaaaa....hahahahah ndo tunaelekea hukoooooooo
 
Kuna jamaa alipigwa 9M mahari na gari aina ya pickup15M ya kubebea majani ng'ombe mablangeti ya uko mabibi na mababu wote(Machame Hiyo)
 
Kama unampango wa kumuoa manake umeona anakufaa

Toa mahari uliyopangiwa mkuu,acha kejeli

Kama huwezi tafuta anayefikia kiwango cha mahari yako
Mbona umekuwa mkali ghafla mkuu?
 
Mwisho laki tatu,zaidi ya hapo wakae na mtoto wao,kama vipi navimbisha tumbo,watanipa bureeeeeeeeeeeee! Wakikomaa poa,nalea mtoto wangu basi,usawa wenyewe wa jamal pater mobali huu.
 
20x20 safiii chanika nshapata kiwanja asubr kwanza nijenge then ntakuja kulipa mahar
 
Nikiikosa napiga mimba tu. Watanipa wenyewe bureeeeeh kabisa
 
Km ni bikira hata milion 10 natoa. Ila kinyume chake mwisho milion 1.5
 
kama ana "bikra" sawa vinginevyo hiyo skrepa chukua bure
 
5M Kwa mwanamke ambaye sio bikra ni kuharibu hela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…