Wanaume baadhi wana uelewa mfup ka mkia wa kondoo. Iv kwann uoe mtoto km wema sepetu, rose ndauka n.k wakati pesa yako ya manati eti upendo umegomea hapo ukitajiwa mahal unafoka na kulalama ovyo eti wanataka fidia ya kusomesha. achen mawazo finyu nyiny msio na hela achen wenye nazo wafaid na huwez kuwaona wenye nazo wakilalama humu ovyo.
Sasa hivi hawa dada zetu wko waluwalu nilipe 5m nimeona nini kwake wengine hawana,istoshe mahari huwa hailipwi yote wazazi we2 mpka leo bdo wanadaiwa mahari na wakwe zao
sasa ukishaona mahari kubwa ndo upite ivi ujue kuwa wazazi wa bibie wanataka mtoto wao aolewe na mtu mwenye mipesa sasa ni bora kukimbia tuu ila kama huna, kama unayo toa mtaenda kuzalisha zaidi, mbona watu wanahonga zaid ya hizo na hawaoi?
Sasa hivi hawa dada zetu wko waluwalu nilipe 5m nimeona nini kwake wengine hawana,istoshe mahari huwa hailipwi yote wazazi we2 mpka leo bdo wanadaiwa mahari na wakwe zao
Naona ujafikia wakati wa kuhitaji mwenza wewe! Hilo la kutolipa mahari yote labda liko kwenu kwani ni sheria kutolipa mahari yote? Unabaki na deni ukweni ndo tabia gani iyo
Mwambie huyo ndugu yako asipanic! Mahari inaruhusiwa kuomba kupunguziwa na kwa kawaida si lazima ulipe yote. Anaweza Tanguliza 1M tu akachukua jiko lake jumla.
Abadili asibadili ni juu yake linapokuja suala la kupendwa na kuolewa ni issue nyingine mwanaume anatoa hiyo akijua anakwenda kuishi na mtu wa namna gani issue apo si papuchi tu
Abadili asibadili ni juu yake linapokuja suala la kupendwa na kuolewa ni issue nyingine mwanaume anatoa hiyo akijua anakwenda kuishi na mtu wa namna gani issue apo si papuchi tu
Status ya papuchi ina say kubwa sana, kataa kubali lakini ndio hivyo.
Kama wewe ni mtz utakumbuka walikuwa wanatandika shuka back in the days, kama hamna damu basi ujue kiasi fulani cha mahari hurudishwa coz mdada kachezewa kabla.
Kule unguja wapo radhi kutoa mlango wa nyuma, ili mradi tu papuchi ibaki intact....!
Leo uniambie nitoe 5m, kisa nini hasa...kwa hawa hawa tunaopishana nao kwenye gesti bubu..puuu!
Naona ujafikia wakati wa kuhitaji mwenza wewe! Hilo la kutolipa mahari yote labda liko kwenu kwani ni sheria kutolipa mahari yote? Unabaki na deni ukweni ndo tabia gani iyo
Uliza vizuri uchagani mahari hailipwi yote unalipa kwa mafungu,pia mahari c kila familia imeweka hela mbele wengine unatoa kuku au mbuzi mambo yanaisha
Ukilipiwa kubwa husemwi? Tena mahari zina kisirani kibaya sana. Unaweza shangaa ndoa haina aman ukawa hujui chanzo. Mahari iwe na maridhiano. Ndoa inakua tamu na haipaswi kuacha kinyongo upande wowote