Hizi Chuki zisizo na Mbele wala Kichwa hazitufikishi popote pale....
Wangekuwa wasomali Ombaomba barabarani sijui tungesemaje...? Watu wanachakarika sisi Tunaumiya mioyo...Hii ni Mioyo ya Hasadi kuona wewe huna, basi na mwezio nae awe hana.
Hivi hizi pesa zinaitwa za Utekaji meli...zinafika kiasi gani...? Tuweni wakweli...?...kuna Kiasi wanachohitaji waporaji meli na Kuna kiasi halisi wanachopewa...!!!....Yule Mtanzania aliekuwa Jambazi kule London mbona hawasemi watanzania wote ni wezi...?
Unajua wakati wa Vita kunakuwa hakuna serikali ya kusimamia.Hivyo watu wanafanya biashara watakavyo. na si kusema eti wasomali wanafanya biashara haramu...Assume pale bandarini kungekuwa hakuna hakuna serikali/TRA...bei za vitu vingekuwa kama hizi za sasa?
Tuache Chuki na Hasadi zisizo na Maana. Sisi Watanzania tuna Uvivu na majungu miongoni mwetu. Hata ndugu zetu waliopo nje ya nchi wengi wao wapo hivyo. hawana business ya maana wanayofanya.
Nakufagilia mkuu kwa senks zako na vile vile ku appreciate the gravity of the problemLOLE GWAKISA & PHILLEMON MICHAEL...!
I GIVE YOU HONOURARY DOCTORATE DEGREE FOR THIS THREAD....!
SO...Dr. Gwakisa and Dr. michael......TANZANIA is our country, and above all ...there are many people who have sensitive and important informations on different matters done against our beloved country.No matter what....but as GOOD CITIZENS we should report these things to the SERIOUS AUTHORITIES which they cant hesitate to take measures against them...!
MY REQUEST:
Most of us (no research done),do not know where we can tell our heart's secrets and still remain HEART'S SECRETS...! Can we have somewhere (people/offices) where sensitive issues could be dirrected to?
REGARDS....!
Hata nchi za magharibi ambazo leo ziko kwenye group la G8 zilifanya uharamia kwa mali za bara la Afrika. Halafu leo eti zinalalamikia uharamia wasomali bila aibu. Kwa mtazamo wangu as long as hao pirates Kisomali wanapata ransom money kutoka kwenye meli za wale waliochukua madini na mazao yetu wakati wa ukoloni, basi kama wana wekeza lwenye vitega uchumi kama hivyo vya utalii, real estate na viwanda hakuna ubaya na tujione tuna bahati kuupata mtaji bila kupitia IMF na World bank. Nenda Nairobi na Dubai ukaone hao pirates walivyowekeza,
Hata nchi za magharibi ambazo leo ziko kwenye group la G8 zilifanya uharamia kwa mali za bara la Afrika. Halafu leo eti zinalalamikia uharamia wasomali bila aibu. Kwa mtazamo wangu as long as hao pirates Kisomali wanapata ransom money kutoka kwenye meli za wale waliochukua madini na mazao yetu wakati wa ukoloni, basi kama wana wekeza lwenye vitega uchumi kama hivyo vya utalii, real estate na viwanda hakuna ubaya na tujione tuna bahati kuupata mtaji bila kupitia IMF na World bank. Nenda Nairobi na Dubai ukaone hao pirates walivyowekeza,
Lole, pole bwana unaoneka kabisakabisa unauchungu na nchi yako....lkn vyombo unavyovitaka viwe makini kwasasa haviioni kabisa hatari hii!Wao hatari kwa nchi yetu ni Chadema! Ndiyo wako bize kutuma majasusi usiku na mchana kuwafuatilia huku adui hasa akiachwa ajiimarishe!
Du asante san Ntaka Grand, umenikumbusha mbali.Kumbukumbu zangu ndogo hawa wasomali uharamia uko ndani ya damu......miaka ya 70 na 80 walisumbua sana kwa kuua tembo na kupora vipusa kwenye mbuga zetu, waliingiza silaha za kivita na ku wipe out tembo wote....ukitizama wamejazana na hakuna wanachofanya kinachodhihirisha utajiri wao....wanashiriki katika mitandao ya madawa ya kulevya, kusafirisha watu kinyemela, na ni wabaguzi kuliko wahindi
Nafarijika kwamba uzalendo kwa nchi hii crosses party lines, nchi ni ya wazalendo na ndio tunao wajibika kuilinda.Kwa kweli bila kuwaondoa hawa jamaa wamagamba tutaendelea kunyanyasika mpaka mwisho! Nchi imekuwa kama haina mwenyewe!!
Ni vyema wananchi wakahamasishwa ili kutoa habari zaidi kwa vyombo vinavyohusika.lole big up!! wht u wrote is a burning topic in intel circle..., ,
Mbona tunawaona wasomali tu? Jee, na yale mahoteli ya wataliano yaliyojazana fukwe zote za Afrika Mashariki tumeshajiuliza wanakozitoa rasilmali?
Mkuu thanks for the appreciation.lole big up!! wht u wrote is a burning topic in intel circle..., nyinyi mnaoandika upuuzi for your country's sake muwe wazalendo at least for a minute...,
Mbona Wataliani walikwisha gundulika na wakaanza kuchoma moto hoteli zao baada ya deal zao za kusafisha pesa ya madawa ya kulevya kugundulika.Mbona tunawaona wasomali tu? Jee, na yale mahoteli ya wataliano yaliyojazana fukwe zote za Afrika Mashariki tumeshajiuliza wanakozitoa rasilmali?
Mkuu thanks for the appreciation.
Watu wengine wanachukulia huu utulivu tulionao for granted.
Niseme wazi siwachukii wasomali lakini put two or three Somalis together you have a fire.
Wasomali wana ukabila,ttofauti kuwa kati ya koo na koo, udini mkubwa sana.
Katika hali kama hii if you have a Somali community lazima utapambana na matatizo yao, na makundi kama Al Shabab na Al Qaeda hayatakuwa mbali sana.
Heshima kwenu wanajamvi,
Wakuu mkuu wa al-Qaeda Afrika Mashariki Fazul Abdullah Mohammed alikuwa akiishi Somalia,alihusika na ulipuaji wa balozi za Marekani Kenya na Tanzania.Bwana Fazul Abdullah kauwawa wiki iliyopita ni miongoni mwa magaidi waliokuwa wakisakwa sana na FBI shirika la ujasusi la Marekani.