Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

Mods Unganisha mada hii na ile ya Mradi wa Majumba ya Kifahari yaliyotelekezwa Ununio/Tegeta/Mbezi
 
Binafsi nakupongeza kwa uzalendo huu mkubwa. Baadhi hawana Tabia ya kuangalia kesho itakuwaje, wao Kila Jambo wanaangalia sasa au Leo tu. Lakini wewe macho yako yamepenya na kuona athali za miaka 50 au 100 ijayo na kuiona Tanzania itakavyokuwa. Hongera Sana. Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii ni lazima tuipiganie na kuitetea ikiharibika kuirejesha kama awali hatutaweza. Hongera Sana.
 
Huu ubaguzi mnaoufanya ndio huwq unaingiza Nchi kwenye machafuko.Hakuna athari yoote Kwa taifa la Tanzania kuwa na wasomali,mtu yeyote anawesa kuwa mbaya hata kama sio msomali.kuna mafisadi yanaiba mabilioni na hamuoni kuwa tatizo unawazodoa wasomali wanaojenga nyumba ya mil 400 au duka la electronics.?
 
Tatizo ni jinsia wanavyoingia nchini kwa njia zisizo rasmi na shughuli wanazofanya. MTU akizoea Kula kwa mtutu wa bunduki ataendelea tu, bila kujali ni wapi na Nani?. Kuhusu ubaguzi Mimi siungi mkono kwa kuwa hata Mimi sipendi kubaguliwa. Ila Tanzania Kwanza kabla ya chochote kingine.
 
Tatizo Wasomal wana historia mbaya. Tuwe makimi tusije kuwa kama Kenya
 
WASOMALI WAMEPIGANIA UHURU WA NCHI HII ...wanahaki kama raia wengi ..pale makumbusho ya taifa kuna Land Rover 109 uliza ni ya nani na historia yake ilikuwa nini .... WACHAGA,..WASUKUMA,..WASAMBAA,..WAGOGO,..WAHAYA,..WAPARE,..WAFIPA,...WAHEHE wapo maharamia zaidi ya Wasomali ....changia vitu vya faida sio ubaguzi ...GENEVA imejengwa na fedha zilizoibiwa Africa ...unongea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…