Heshima kwako Duduwasha,
Mkuu ni vyema kama hujui jambo kaa kimya ujuzwe.
Kusamabaratika kwa serekali ya Somalia mwanzoni lilionekana kama tatizo la Afrika au pengine tatizo la kikanda zaidi.Mashirika yote ya kijasusi ya nchi za magharibi yanatambua yalikosea sana Somalia sasa ni tatizo la kudunia linahitaji kushughulikiwa kimataifa tena kwa uangalifu wa hali ya juu sana.
Mapato yatokanayo na utekaji wa meli yamemiminika eneo lote la Afrika mashariki,Kenya wamekuwa waanga wa mwanzo pengine sababu za kijiografia zilisaidia zaidi.Wasomali wamenunua maeneo sehemu mbali mbali kwa bei kubwa kwaajili ya ujenzi wa mahotels na majumba ya biashara.Benki kuu ya Kenya imekiri kuingia kwa fedha nyingi sana nje ya mfumo wake rasmi wa fedha.Tanzania nayo haikubaki nyuma miji ya Arusha,Tanga,Dar es Salaam imevamiwa na hizi fedha za uharamia.
Zipo athari kibao ambazo nchi za EA zimeanza kuona moja kubwa nikitisho cha ugaidi kuongezeka matukio ya mlipukowa mabomu nchini Kenya na Uganda ni uthibitisho jinsi haliitakavyozidi kuwa mbaya siku za usoni.Wasomali wamefanikiwa sana kupenyeza wasomali wenzao ndani ya mfumo wa siasa na utawala nchini Kenya ili kulinda maslahi ya wasomali hasa kuwahakikishia usalama wa mali zao walizowekeza nchi humo.Tanzania imeanza kunyemelewa hasa kipindi hiki ambacho ombwe la uongozi/utawala limetamalaki.Kuna mikakati ya maksudi na siri ya kuwasaidia raia Tanzania wenye asili ya kisomali kukamata nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya maamuzi.Ni rahisi sana kufanikisha mkakati wa aina hii kwasababu chaguzi zetu zimetawaliwa sana na matumizi makubwa ya fedha[hakuna udhibiti wa matumizi ya fedha]. Bashe Hussein,Aden Rage na A Kinana ni aina ya viongozi wanaowatumikia magaidi ya wa kisomali kwa kuwapatia mikakati mbali mbali eg kujipenyeza ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama [miradi ya kiuchumi] tenda.Tanzania isipokuwa makini hakika uchaguzi wa mwaka 2015 idadi ya wabunge wasomali lazima itaongezeka maradufu kwakuwa tayari maharamia wa kisomali wanazo fedha za kuwafadhili.
Kinana aliwahikushika wadhifa wa spika wa bunge la EAC,anajua nje ndani jumuiya hiyo inavyoendeshwa hivi sasa zipo juhudi na mikakati ya kuiingiza Somalia ndani ya EAC bila kujali sehemu kubwa ya Somalia inashikiliwa na wapinzani wa serekali.Watu wazima hawajawaza wasomali watakavyopata uwanja mpana [eneo la nchi za EAC] wa ugaidi.
WaTanzania wenye asili ya Somalia ni tishio kubwa la usalama wa Tanzania na eneo lote la Afrika.