Maharage ya njano ni GMO?

Maharage ya njano ni GMO?

GMO- Genetically Modified Organism: is an organism that has had its DNA altered or modified in some way through genetic engineering. In most cases, GMOs have been altered with DNA from another organism, be it a bacterium, plant, virus or animal; these organisms are sometimes referred to as "transgenic" organisms

From google.

Thank you
 
Ni yale marefu mekundu? Ama mafupi? Ama yale yenye umbo kama njugu mawe lkn mekundu sana?
Nyekundu yote ni mazuri lkn haya maneno mekundu yako kama njugu mawe yana madini na protein nyingi zaidi. Ni adimu kidogo kupatikana
Maharage mekundu madogo yanaharibu macho(kupofusha)
 
Wee jiulize swali moja tuu umewahi kuona GMO yoyote ikiwa adimu na bei ya juu...?
Sifa za kibiashara ya mazao ya GMO ni wingi na size ikiwa na maana wingi - vinasaba ya uzalishaji vimesetiwa hivyo au muda wa kukomaa umesetiwa ,pili saizi ya kitu kwa wanyama, matunda ,na hata mimea.Na pia inategeme ni kwa kiwango Gani vimesetiwa. Mbali na hivyo tukumbuke kuna selective breeding katika uzalishaji pia.
isije kuwa kuna vita ya kibiashara nyuma ya pazia kama ya soda flani kuambiwa zina ebora hivi karibuni
 
Maharage ya njano uyapate kule Kazuramimba. Ni matamu sana. Mbegu ya kawaida sio GMO.
 
Hapo maharage anaitwa sarunge ni jamii ya haya mekundu marefu lkn ywnyewe yana rangi ya khaki/kijivu. Haya ni matamu sana sema yana kiasi kidogo cha sukar na pia yanastawi sehem za mvua na baridi ni indigenous kwa uko mbozi. Haya hayajachakachuliwa mbegu kabisa sawa n.a. maharage fulan ya kupikia kiburu mfupi meupe yanaitwa nkanamna.....kichaga
Duh nkanamna watu mpo deep!!
 
kanda ya ziwa huitwa maharage ya kigoma yapo pale kigoma tangu mabibi zetu,ispokuwa yapo maharage ya njano yalioboreshwa hapo itabidi tuwasubiri watafiti wa uyole au sua.
 
Hata mimi nimeona kwa mbali ila nilikuwa nawaza mara 2 sio kuharibiana biashara huku
isije kuwa kuna vita ya kibiashara nyuma ya pazia kama ya soda flani kuambiwa zina ebora hivi karibuni
 
Ni kawaida sana kwa dunia ya sasa...

Hata carrot original ni purple na nyeusi.... ila wamezi- modify na kuonekana za njano...



Cc: mahondaw
 
Labda ungeanza kwa kusema GMO ni kitu gani manake usidhani hapa JF kila mtu anajua unachofahamu wewe.
 
Huyo ndo mkombozi wetu kwa wenye vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom