Maharage ya njano ni GMO?

Maharage ya njano ni GMO?

Wakuu kuna hili jambo linanitatiza sana jee ni kweli kwamba maharage ya njano ni GMO? Maana nimesikia watu wakisema hivyo na kudai haya maharage hayakuwapo kabla Wengine wanadai yanaleta sukari na cancer Jee ni kweli kuwa maharage ya njano ni GMO?

Nimeyala toka nikiwa mdogo zaidi ya miaka 40 iliyopita wakati hata hili suala la GMO halijulikani. Sasa nani anakudanganya? Waulize watu wa Kigoma watakuambia ndio maharage makuu kule. Kwa mawese, hapana mfano bwana!
 
Naomba kufahamu kuhusu mahindi ya njano\ mahindi lishe. Je na yenyewe ni GMO?
 
Back
Top Bottom