Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

Bwana Chande,

Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.

Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.

Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.

Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.

Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.

Considering record yake tanesco sijui ata perform vip
Mhandis ulanga alijitahidi sana kubadili image ya ttcl, maybe its too soon wangempa muda considering mambo aliyokuwa anafanya.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Maharage Chande ni moja kati ya visionary leader na rekodi zinambeba. Tangu akiw Vodacom,NBC na DSTV. Very unfortunate kwa TANESCO it didn't work that good. Labda alihitaji muda zaidi ila the public outcry ya power outing ilihitaji immediate attention. Jambo ambalo alishindwa nikutokakuwa na mipango ya muda mfupi kati na mrefu ili kuondoa hii shida.
As for TTCL sina mashaka nae..hili ndio eneo lake la umahiri na naamini Serikali inajua hivyo.
Kwa taarifa tu huyu sio kilaza. Ni bright hasa, uliza kote alikosoma tangu sekondari,chuo kikuu na huko alikopita kikazi.
Wishi him all the best kwenye majukumu yake mapya.
Hapo kwenye NBC umedanganya. Rudi tena ukaangalie nini kiliwatoa na Lawrence Mafuru
 
Unampongeza UJINGA tu. Maharage ni failure na huko anakwenda kuitupa kaburini TTCL ambayo ilikuwa mortuary

Hawa Makamba na Maharage wasingekuwa wana connections za wazazi wao basi tungekuwa nao mitaani au wangekuwa wanasota na kujibu hoja za TAKUKURU.

ANYWAY tusubiri CAG report zijazo tutarudi hapa tena
Ha ha ha! Hiyo ndio sahihi.
 
Aiendeshe ttcl kama alivyokuwa anaiendesha dstv

Ova
DStv-Tz yenye wafanyakazi wasiozidi 50 unalinganisha vipi na TTCL iliyotapakaa nchi nzima ikiwa na kila aina ya vigagula walalamishi kwa kila jambo?

Watu ambao always wako negative wanaojihisi wanaonewa muda wote? Watu ambao by hooks and crooks mindset haiwezi kubadilika tena?

Hilo shirika kuli-transform sio masikhara linahitaji kichwa cha ukweli sio chawa!
 
Tungekua Taifa Serious,hayo maharagwe sasa hivi yangekua jikoni "yanapikwa" kwa madudu yaliyojaa yakiwa Tanesco store.

Mtu kafeli kwenye shirika nyeti na uti wa mgongo wa uchumi,anaenda kupewa tena uraji- akafisadi na huko?!!

Hakuna new brains?!
 
Unampongeza UJINGA tu. Maharage ni failure na huko anakwenda kuitupa kaburini TTCL ambayo ilikuwa mortuary

Hawa Makamba na Maharage wasingekuwa wana connections za wazazi wao basi tungekuwa nao mitaani au wangekuwa wanasota na kujibu hoja za TAKUKURU.

ANYWAY tusubiri CAG report zijazo tutarudi hapa tena
You are such a loser
 
Bwana Chande,

Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.

Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.

Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.

Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.

Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.
Kapuyanga Tanesco sasa kama hakuwa mtu sahihi kwanini walimteua?

Mmegeuza Tanzania shamba la bibi eeeh.

Ipo siku.
 
we kwa sababu umemtia babra eeeh baba j😕
Bwana TikTok umekaa ukajiaminisha kabisa mimi Waziri wa mambo ya nje. 😂😂. Kweli akili yako fupi, hata nyakati husomi.

Halafu you don't think it's homosekshuo behavior kuongelea mwanaume mwenzako anamkaza nani, chalii jifunze etiquette kidogo 😭

You are obsessed na JM. Pole boss, roho itakuchoma sana we Bwana mdogo. Maana ndio kwanza top Diplomat 💪🏿💪🏿

Kesho amka fungua thread nyingine. Hakuna publicity mbaya duniani, naona nikama mnamuweka mtu top of mind watu wanamjua zaidi,
 
Bwana Chande,

Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.

Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.

Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.

Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.

Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.
ANa experince kuendesha Telecominication companies?
 
Wacha tuone, hasijekuwa ameshindwa kabla ya kuanza
 
Wana ttcl Wawa wezesha wateja wao wale nini ilhali zipo Paa chenti za watoa huduma wanaojaribu kuiua ttcl ili waliteke soko🤔
 
DStv-Tz yenye wafanyakazi wasiozidi 50 unalinganisha vipi na TTCL iliyotapakaa nchi nzima ikiwa na kila aina ya vigagula walalamishi kwa kila jambo?

Watu ambao always wako negative wanaojihisi wanaonewa muda wote? Watu ambao by hooks and crooks mindset haiwezi kubadilika tena?

Hilo shirika kuli-transform sio masikhara linahitaji kichwa cha ukweli sio chawa!
Maharage alikuwa boss wa DStv Africa. Sio bongo
 
Bwana TikTok umekaa ukajiaminisha kabisa mimi Waziri wa mambo ya nje. 😂😂. Kweli akili yako fupi, hata nyakati husomi.

Halafu you don't think it's homosekshuo behavior kuongelea mwanaume mwenzako anamkaza nani, chalii jifunze etiquette kidogo 😭

You are obsessed na JM. Pole boss, roho itakuchoma sana we Bwana mdogo. Maana ndio kwanza top Diplomat 💪🏿💪🏿

Kesho amka fungua thread nyingine. Hakuna publicity mbaya duniani, naona nikama mnamuweka mtu top of mind watu wanamjua zaidi,
Kwani uongo wewe ni kipara baba j mnakuja na id zenu feki mkijua hatutowajua😕😕😕

Kama wewe ulivyokosa adabu kuongea habari za kutia wanawake mimba

Roho haiwezi kunichoma kwa failure kama wewe januari kwa taarifa yako ni suala la muda tu mbeleko itachanika na utaangukia pua

Nitakuja kukukumbusha hapa hapa usikimbie
 
Bwana Chande,

Kwanza nikupongeze kwa kuhamishiwa TTCL. Kwangu naamini mama kapiga pasi ya kisigino kwa hatua hii ikiwemo ya kumpeleka Biteko nishati na kumteua Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco. Sasa naamini mama amepata washauri makini na pengine tukaona mwelekeo mpya kwenye sakata la bandari.

Mpambanaji Chande huko TTCL biashara ni kama imekufa na wameshindwa kabisa kuwa washindani kwenye maeneo ambayo wana competitive advantages. Mfano kwasasa focus yao kubwa ipo kwenye Internet connections ingawa pia wanasuasua.

Landline connection ni kama imekufa na ukiomba huduma hupewi attention kabisa hata maeneo ambayo miundombinu bado ipo. Fatilia request za landline connection jinsi zinavyofanyiwa kazi ubadili uelekeo wake.

Gharama za Internet bado ni kubwa sana, inawezekana kabisa TTCL kuleta mapinduzi kwenye eneo hili na kuwa shirika la mfano barani Afrika. Anzisha kitengo cha utafiti ( business research) na kujaza wataalamu ikibidi hata diaspora.

Naamini unakwenda kuifanyia mapinduzi TTCL na usikatishwe tamaa na wanaokubeza kwa mwenendo wa hali ya umeme ambayo binafsi naamini hukuwa mtu sahihi kwenye eneo hilo ila huku TTCL ndio muda wako wa Taifa kula matunda ya ujuzi wako.
Akiweza kuboresha internet majumbani atakua kafanikiwa pakubwa na ataonekana kweli kichwa
 
Kwani uongo wewe ni kipara baba j mnakuja na id zenu feki mkijua hatutowajua😕😕😕

Kama wewe ulivyokosa adabu kuongea habari za kutia wanawake mimba

Roho haiwezi kunichoma kwa failure kama wewe januari kwa taarifa yako ni suala la muda tu mbeleko itachanika na utaangukia pia

Nitakuja kukukumbusha hapa hapa usikimbie
Usimumshe asiyelala.

You think you are important hadi unajidillusion kwamba Waziri wa Foreign Affairs wa Jamhuri ya Tanganyika atakuja kubishana na wewe humu 😂

Sasa tajiriiiii roho haikuchomi vipi wakati asubuhi mchana jioni TikTok we unamuongelea mtu mmoja tena kimbea na kipashkuna. Mi nahisi roho inakuchoma.

Natamani ungekuwa unajitambua robo tu. Ungeweza kukosoa bila kukosa amani ya moyo.
😂

Kaa humo roho isawajike kabisa 😅

Back
Top Bottom