hatuna umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe - Pwani hatuna umeme wa uhakika, haipiti siku lazima ukatike

    Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika. Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka malalamiko yetu kwa wahusika. Si Mkuu wa Wilaya wala Meneja wa TANESCO Mkuranga, ambaye amejitokeza...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maharagande: Miaka 64 ya uhuru hatuna umeme wa uhakika

    Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Chama cha ACT Wazalendo. Mbarara Maharagande, amewataka Watanzania kukipuuza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwakuwa kimeshindwa kutatua changamoto zao hasa kwenye upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika. Maharagande ameyasema hayo wilayani Tunduru kwenye mkutano...
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Goba-DSM hatuna Umeme kuanzia jana Usiku. TANESCO kuna tatizo gani?

    Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa? Na...
Back
Top Bottom