Kama maneno yako yana ukweli basi Wazungu ndio wamepitwa na wakati kabisaaa!! kumbe nilikuwa sijui kama sisi tunakwenda na wakati kuliko Wazungu!!Mambo ya kumlisha mwanamke nje mbona yamepitwa na wakati dogo.
Wewe uko dunaini gani dogo, siku hizi wanawake wanatazama figa zao hawataki kula sana, wao wanataka frut salad na umpigishe exercise hapo atakuganda...kwenda sijui kwenye ma restaurant au kujishow off mahotelini, hapo ndo anapo anza kukuona wewe ni muaza magazeti tu, atakuona kama wale wanao penda kujisifia kama ana gf siku hizi.
Mambo ya kumlisha mwanamke nje mbona yamepitwa na wakati dogo.
Wewe uko dunaini gani dogo, siku hizi wanawake wanatazama figa zao hawataki kula sana, wao wanataka frut salad na umpigishe exercise hapo atakuganda...kwenda sijui kwenye ma restaurant au kujishow off mahotelini, hapo ndo anapo anza kukuona wewe ni muaza magazeti tu, atakuona kama wale wanao penda kujisifia kama ana gf siku hizi.
Hivi wewe unadhani wazungu wanaenda na wakati, kama unadhani vile pole sana.Kama maneno yako yana ukweli basi Wazungu ndio wamepitwa na wakati kabisaaa!! kumbe nilikuwa sijui kama sisi tunakwenda na wakati kuliko Wazungu!!
Matatizo yenu mnadhani kulisha mwanamke nje ndo maendeleo, mtaendelea kuwalisha na hamtapata kitu...poleni sana.Nakwazika sana na wenye ku-criticize mambo kama ulivyo wewe!
Kumsaidia mtu ni kumkosoa na kumwonesha namna sahihi ya kutekeleza jambo hilo,
Bila kufanya ivo ni unakuwa hujamsaidia na zaidi unaonesha udhaifu katika kukabiliana na mambo kitu ambacho si sahihi kwa Great thinker kama wewe.
Funguka......!
Mpaka hapa umeshapoteza Credibility ya kufanya Argument na mtu yeyote mwenye akili timamu, mimi sio mahoka sina muda wa kubishana na mtu asiyejuwa hata anachokiongelea ni kitu gani!!Hivi wewe unadhani wazungu wanaenda na wakati, kama unadhani vile pole sana.
dogo wewe unadhani akili kula nje, kale nje na mimi naona kula nje sio akili, wewe kalishe gf afu akupige mateke wengine waje wajilie bila hata bila ya kumlisha nje.Mpaka hapa umeshapoteza Credibility ya kufanya Argument na mtu yeyote mwenye akili timamu, mimi sio mahoka sina muda wa kubishana na mtu asiyejuwa hata anachokiongelea ni kitu gani!!
Hata Quality Center Nyerere Road Lemon Tree ipo, tena ukimaliza Dinner humo humo unapandisha floor ya kwanza unakula kilaji chako Savanna Longe na Big sound ya uhakika.Lemon Tree pale posta ndani ya jengo la Benjamini Mkapa pametulia sana.
Hata Quality Center Nyerere Road Lemon Tree ipo, tena ukimaliza Dinner humo humo unapandisha floor ya kwanza unakula kilaji chako Savanna Longe na Big sound ya uhakika.
Ndio maana nimependa kujuwa hii mutu inatokea mitaa gani?
dogo wewe unadhani akili kula nje, kale nje na mimi naona kula nje sio akili, wewe kalishe gf afu akupige mateke wengine waje wajilie bila hata bila ya kumlisha nje.
Laizma uwe mkali mana ndo dalili zinaonyesha umezoea kuliwa pesa zako nje kila siku na unatoka kapa!
Kwanza kama wewe una akili kama unavyo dai utamlsiha mtu ambaye hana njaa!
Kama wewe una akili umewahi kumlsiha mama yako aliye kuzaa kwenye hoteli au restaurant za kifahari ? sidhani!
dogo nenda kajifunze nini mana ya kupenda, kupenda sio kumpeleka mwanamke kwenye mahoteli ya kifahari au kumlisha kwenye ma restaurant ya kifahari....kwanza huyo sio mke wako, pili huyo kama si mke wako vipi mwanamke anaheshima zake akubali kuepelekwa kulishwa, kwani yeye masikini na akawe sinema mbele za watu, wakati bado sio mke wako!
Kama umeowa sawa hatukatai ukimtoa wife out mara moja moja, lakini hujaoa na mwanamke hajaolewa huo ni ujinga na wala sio akili :biggrin:
Wadau,
Hivi karibuni nitakuwa na kideti cha dinner na shemeji yenu mtarajiwa. Nahitaji sehemu nzuri, romantic kwa ajili ya tukio hapa Dar. Nimeshawahi kwenda dinner sehemu tofauti tofauti, but I think pengine kuna mahali pazuri zaidi ambapo sijawahi kwenda.
Sehemu iwe imetulia na isiyokuwa na watu wengi. Pombe si lazima. Budget ni up to 20,000 - 50,000 for dinner ya watu wawili.
I am looking for a gud start!
Ram
U will never regreat!.....Hhmm. . . I haven't been to that one yet, but i'll take your word for it. Acha mshkaji aende mbali kidogo na nyumbani akabadilishe mazingira.