Duh
Ile Kona ya Chunya ni balaa, pia Inyala Kuna kona inaitwa Mlima Nyoka, hapo hapalali njaa, kila mara ajali
Morogoro storesPatia upate voucherView attachment 1767739
Kiwanja kikali, wapi hapo?
Duh.
Milima kama ya upareni ila barabara kama ya darisalama