JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,594
- 1,384
Unajua kuwekwa rumande au kufungwa ni kitu cha kusikitisha sana..ndio wanyee debe
Unajua kuwekwa rumande au kufungwa ni kitu cha kusikitisha sana..ndio wanyee debe
Wakati anakiuka masharti alitegemea nini? Akae huko ikiwezekana mpaka 2021.Kukaa mle ndani hakuwasaidii wapiga kura kwa namna yoyote..kumbuka kuna mambo mengi mazuri huenda angekuwa anafanya jimboni kuliko kuwekwa ndani.Hasira zisitawale katika hili swala
Endapo mahakama itaona ni vyema inawaachia tu..ata raia wenye makosa ambao tayari wamejutia wakiwa rumande au jela ambayo si mazito sana ikibidi warudi tu uraiani.Na wengine wenye kosa kama lao unashauri wafanywajwe nao?
Si vyema maana anakosa nafasi ya kufanya Kazi..Wakati anakiuka masharti alitegemea nini? Akae huko ikiwezekana mpaka 2021.
Kuruka taratibu za kimahakama aliwafikiria wapiga kura wake?tatizo kwenu nyinyi serikali ikifuata sheria mnaona mnaonewa. Na kuvunja sheria mshaona ni haki yenu.Kukaa mle ndani hakuwasaidii wapiga kura kwa namna yoyote..kumbuka kuna mambo mengi mazuri huenda angekuwa anafanya jimboni kuliko kuwekwa ndani.Hasira zisitawale katika hili swala
Alipokiuka masharti ya dhamana alifikiria hili la kukosa nafasi ya kufanya kazi?Si vyema maana anakosa nafasi ya kufanya Kazi..
Msamaha wa dhamana na msamaha naada ya kupatikana na hatia ni vitu viwili tofauti. Hapa bado hajapatikana na hatia ila aliidharau mahakama. Wakimuacha tena anaweza akalimbilia ulaya.Endapo mahakama itaona ni vyema inawaachia tu..ata raia wenye makosa ambao tayari wamejutia wakiwa rumande au jela ambayo si mazito sana ikibidi warudi tu uraiani.
Ana uzee gani huyo mruka majoka!
Akitoka huko na wanae atajua jinsi ya kuishi na utawala huu.hapa kazi tu
Jela haina mwenyewe. Hata wewe iko siku utakuwa huko , ni swala la mda tu.Sheria ni msumeno, acha wawe funzo kwa jamii kuheshimu dhamana na kutoidanganya mahakama, wakitoka huko watakuwa na adabu hata kama nje watajionyesha hawajali.
Dhahabu ili ing'ae lazima ipitie motoni.Sheria ni msumeno, acha wawe funzo kwa jamii kuheshimu dhamana na kutoidanganya mahakama, wakitoka huko watakuwa na adabu hata kama nje watajionyesha hawajali.
Naaamini we we hulipwi buku7 ni zaidi ya apapewe dhamana akale bia ulaya huku hapa bongo zimejaa
Hapana Bavicha na chadema wengi waliunga mkono kuwekwa ndani kwa viongozi wao kuwa kunawafanya wawe kama Nelson Mandela.Andelee kukaa ndani awe Mandela zaidi.Mbowe na Matiko wasipewe dhamana ili wawe Mandela zaidiUnajua kuwekwa rumande au kufungwa ni kitu cha kusikitisha sana..