Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,727
- 104,608
Kwa hiyo sasa CCM wanaenda kuzoa majmbo 9 hivi karibuni? Maana wakipigwa miezi 6 wanakosa sifa za kuwa wabunge.
Sio ccm, sema chama cha watekaji kinaenda kuzoa majimbo. Kwa taarifa yako kwa sasa chini ya awamu hii kuwa mbunge ni fedheha. Hao wabunge kwa sasa ni wauza sura kama wauza sura wengine. Hawana lolote zaidi ya kupitisha matakwa ya jiwe.