Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake

Mahakama Kuu Division ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa Leo Septemba Mosi, 2021 imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa upande wa utetezi, juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo wa kusikiliza kesi ya Ugaidi.

Usikilizwaji wa kesi hiyo unaendelea.
Hii ni kiboko
 
Don't lose hope Freeman. You are boarding an excellent bus to freedom as other freedom fighters have done. Justice will be done. It is a matter of time. You have lost today but will win tomorrow which is certain to come. We are on our kneels begging God to protect you.
 
Amen
 
Ulikuwa upuuzi mtupu.
ujuwaji mwingiiii!!
mnawachosha mabalozi wa watu bureee mwisho wapate korona!!!
Mbowe anavuna alicho kipanda.
eti anachagua Mahakama ya kusikiliza kesi yake!!
mwishowe atachagua na gereza la kutumikia kifungo chake!!
Wewe ni mwenyekiti wa wapumbavu na wachawi
 
Hatuna mahakama tuna matawi ya CCM

Kazi kubwa ya polisi na mahakama ni kuua CHADEMA
Wafuasi wa CDM nyie ni watu wa ovyo kweli. Angeshinda hilo pingamizi mngekuja hapa na sifa kede kede kwa Kibatala na kuwaponda wanasheria wa Serikali. Mkipigwa hamsemi Kibatala ni kilaza ila lawama mnaitupia Mahakama. Nyie watu viazi kweli!
 
Hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
Kwnini mbowe hataki mahakama hiyo isikilize kesi?,maana kama hana hatia,atataka kesi ianze haraka hata kama ni chini ya mti ili uongo wa wanaomshitaki ujulikane na kesi iishe
 
Back
Top Bottom