Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake

Ulikuwa upuuzi mtupu.
ujuwaji mwingiiii!!
mnawachosha mabalozi wa watu bureee mwisho wapate korona!!!
Mbowe anavuna alicho kipanda.
eti anachagua Mahakama ya kusikiliza kesi yake!!
mwishowe atachagua na gereza la kutumikia kifungo chake!!
Na ww ya Mbowe yanapiga hodi kwako! Mchawi akikosa wa kumloga anawaloga wajukuu zake lazima na ww utavuna unacho kipanda!
Ukae ukijua kutesa na kuteseka humu duniani ni kwa zamu!
MUNGU KIBIDU!
 
Ulikuwa upuuzi mtupu.
ujuwaji mwingiiii!!
mnawachosha mabalozi wa watu bureee mwisho wapate korona!!!
Mbowe anavuna alicho kipanda.
eti anachagua Mahakama ya kusikiliza kesi yake!!
mwishowe atachagua na gereza la kutumikia kifungo chake!!
Mabalozi watapata korona sio?????

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wafuasi wa CDM nyie ni watu wa ovyo kweli. Angeshinda hilo pingamizi mngekuja hapa na sifa kede kede kwa Kibatala na kuwaponda wanasheria wa Serikali. Mkipigwa hamsemi Kibatala ni kilaza ila lawama mnaitupia Mahakama. Nyie watu viazi kweli!
Kuanzia mwenyekiti wako taifa
 
Siku hizi siwasikii tena na kale kawimbo kao ka sukumagang, sijui imekuwaje.
Sasa hivi wananena kwa kugha mkuu!
Screenshot_20210901-104715_Twitter.jpg
 
Wafuasi wa CDM nyie ni watu wa ovyo kweli. Angeshinda hilo pingamizi mngekuja hapa na sifa kede kede kwa Kibatala na kuwaponda wanasheria wa Serikali. Mkipigwa hamsemi Kibatala ni kilaza ila lawama mnaitupia Mahakama. Nyie watu viazi kweli!
Wa kwanza kupiga vifijo na nderemo angekuwa Erythrocyte.
 
Tatizo kubwa linalotukabili Watanzania ni unafiki,tupinge dhuluma kwa yeyote bila kujali itikadi yake yoyote vinginevyo siku yakikukuta usilalamike kuonewa maana wakati wenzako wakionewa ulikuwa ukifurahia.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom