Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Wakuu wa mikoa ya D'salaam, Mwanza, Morogoro na Ruvuma waache ubabe wa kuwatisha na kwanyanyasa walimu wanao goma, waheshimu msimamo wa mahakama ya kazi!
Is teaching a professional?
Please greet thinkers may you comment on this threat, may be what i passive is wrong that teaching is not a professional that is why teachers are underpaid, ignored and undermined in our country Tanzania.
Mzee Nhundu vipi hapo kwenye bold nakuomba ufunguke zaidi hujaeleweka mkuu.. au ndio zile haraka za kuandika na kupost bila kuangalia mauzui ya content yako..?Is teaching a professional?
Please greet thinkers may you comment on this threat, may be what i passive is wrong that teaching is not a professional that is why teachers are underpaid, ignored and undermined in our country Tanzania.
Source ITV Habari
Mahakama ya kazi division ya kazi imeshindwa kutoa hukumu juu ya mgomo wa walimu na serikali hadi tarehe 2 August 2012 na mahakama imedai mgomo haukufuata taratibu zote na ni batili na viongozi wanasema ni halali
YOU PERCEIVE IT WRONG kilaza mkubwaIs teaching a professional?
Please greet thinkers may you comment on this threat, may be what i passive is wrong that teaching is not a professional that is why teachers are underpaid, ignored and undermined in our country Tanzania.
hacha uongo wote tumeona hiyo habari walichosema watatoa hukumu tarehe 2 mwezi wa nane
Is teaching a professional?
Please greet thinkers may you comment on this threat, may be what i passive is wrong that teaching is not a professional that is why teachers are underpaid, ignored and undermined in our country Tanzania.
Sijui kama kwenye red ni sahihi. But teaching is a PROFESSION and not PROFESSIONAL, but we have a PROFESSIONAL TEACHERS. Sijui kama unaona tofauti ya vitu hivi?
unamkosoa mwenzio...kajifunze kiswahili kwanza ndio je hapa kuchangia..hacha ndo nini?au ulitaka kusema acha!!! halafu mnasema baraza la mitihani linawaonea linasahihisha mitihani yenu vibaya ...
Mgomo wa walimu ni halali,huyo wakili ni dhaifu na hii ndo inafanya serikali kuingia gharama baada ya kushindwa kesi mara kibao.
Leo ndo nimeamini hatuna serikali!
masikini JK, sidhani kama hata swaumu yake inapokelewa na mwenyez mungu,kwa watoto wetu kukosa haki ya kusoma!
madrasa wanaenda shida iko wapi!!!!
Nyinyi wa makanisani mtajijua na mtakatifu zenu sijui st.