PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hivi wewe una akili vizuri unasema Lisu anahatarisha amani? tumia akaili Lisu hana jeshi bali anawaambia watu ukweli waache wabishane kwa hoja kamati kuu ya chadema ilisema kama hakuna reform hakuna uchaguzi hivyo yeye katumwa na kamati kuu hivyo yeye anasimamia maamuzi ya kamati kuu. Lisu ni mtanzania na hatetei maslai yake mwenyewe bali anakutetea wewe
Ataileta hiyo Kamati Kuu Mahakamani iliyomtuma kusema No Elections. Yaani mtu anaropoka ropoka ulitaka wamchekee?? Aropoke huko CHADEMA lakini siyo masuala ya kitaifa
 
Lazima afurahie, unajua ni wangapi wangekufa kutokana na uasi wake? Unajua amani ya nchi ingekuaje?
Ni furaha vyombo vya ulinzi vinapotambua majukumu yake kwa kudhibiti watu kama hawa
Ni kweli una uchungu na watu watakaokufa au unauchungu na mali mlizijimilikisha kwa mchongo?
 
Dada kwa shahidi wenu aliefeli form 2 hata hakimu kichaa hawezi kunsikiliza...lissu mmoja ni sawa na wanaccm na policeccm wote tanzania
Hata ukiniambia Lissu mmoja ni sawa na CCM 10 milioni lakini si huyo katulizwa kabatini!!
 
Lissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.

Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.

Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
Una changamoto ya ushamba na roho ya kijicho.
 
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo

"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu, mlifanya majukumu yenu na mliyafanya kwa usahihi. Hivyo ninaichukua kesi hii mikononi mwangu tena. Kwahiyo Mheshimiwa 'from now on' mimi ndiye nitakaojibizana na hao mawakili wa serikali",

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu ambayo ni kumruhusu Lissu kukabiliana moja kwa moja na Mawakili upande wa Jamhuri na si Mawakili wake kufanya hivyo mpaka atakapoamua vinginevyo.

Hakimu amesema...

"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"

==

Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.

Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi

Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.

hii inaitwa Lisu is direct proportional to the state attorneys when the Judge is constant
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=lDkzrRnDVYo
  • Extracts from the court record of the trial of Mandela held in the Old Synagogue court, Pretoria, from 15 October to 7 November 1962. Mandela was accused on two counts, that of inciting persons to strike illegally (during the 1961 stay-at-home) and that of leaving the country without a valid passport. He conducted his own defence.
MANDELA:
Your Worship, before I plead to the charge, there are one or two points I would like to raise.


Firstly, Your Worship will recall that this matter was postponed last Monday at my request until today, to enable Counsel to make the arrangements to be available here today.

consultation with him and my attorneys, I have elected to conduct my own defence.


Some time during the progress of these proceedings, I hope to be able to indicate that this case is a trial of the aspirations of the African people, and because of that I thought it proper to conduct my own defence....

The Old Synagogue Court Pretoria holds a special historical significance as it is where, among others, Nelson Mandela and his co-accused appeared for the Rivonia treason trial. An inquest into Steve Biko's unnatural death was also held there.

View: https://m.youtube.com/watch?v=wbbYf9g4qLE
 
Back
Top Bottom