Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 8,964
- 13,465
Matusi, dhihaka na uwongoMbowe alitolewaje kwa hila wakati upigaji kura ulikuwa wa wazi?
Ifike mahal mkubali mbowe alishindwa kihalali
Matusi, dhihaka na uwongoMbowe alitolewaje kwa hila wakati upigaji kura ulikuwa wa wazi?
Ifike mahal mkubali mbowe alishindwa kihalali
Watu ambao wamezaliwa wamikuta nchi imetulia hawawezi kuelewa. Angalia jirani zetu DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya. Historia tuliyopitia ni tofauti.Bonge la jibu..AKILI KUBWA SANA HII
hizo ndio hila? Hila unazijua ww?Matusi, dhihaka na uwongo
Kwa hiyo kuanzia sasa tutashudia Lissu mmoja akipambana na Mawakili wote wa serikali kandamizi!! Hakika Tanganyika ilichelewa sana kumpata mtu aina ya Tundu Lissu.Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo
"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu, mlifanya majukumu yenu na mliyafanya kwa usahihi. Hivyo ninaichukua kesi hii mikononi mwangu tena. Kwahiyo Mheshimiwa 'from now on' mimi ndiye nitakaojibizana na hao mawakili wa serikali",
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu ambayo ni kumruhusu Lissu kukabiliana moja kwa moja na Mawakili upande wa Jamhuri na si Mawakili wake kufanya hivyo mpaka atakapoamua vinginevyo.
Hakimu amesema...
"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"
==
Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
ruzuku imekatwa, hata kuwalipa angeshindwa, mawakili wote wale sidhani kama walikuwa wanawakilisha bure. nampa pole Lisu.Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo
"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu, mlifanya majukumu yenu na mliyafanya kwa usahihi. Hivyo ninaichukua kesi hii mikononi mwangu tena. Kwahiyo Mheshimiwa 'from now on' mimi ndiye nitakaojibizana na hao mawakili wa serikali",
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Franco Kiswaga, ametoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu ambayo ni kumruhusu Lissu kukabiliana moja kwa moja na Mawakili upande wa Jamhuri na si Mawakili wake kufanya hivyo mpaka atakapoamua vinginevyo.
Hakimu amesema...
"Kuanzia sasa hoja zitakuwa zinajibiwa kati ya upande wa Mawakili wa Jamhuri na Mshitakiwa mwenyewe mpaka pale atakaposema vinginevyo, kwamba naomba Mawakili wangu warudi"
==
Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe huku akitaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Soma, Pia: Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
Sasa kama siyo kazi yako. Ni kina kuwasha mpaka hapo ulipo huwezi kukaa kwa kutulia?Hiyo siyo kazi yangu ni kazi ya mwendesha mashtaka
hivi wewe una akili vizuri unasema Lisu anahatarisha amani? tumia akaili Lisu hana jeshi bali anawaambia watu ukweli waache wabishane kwa hoja kamati kuu ya chadema ilisema kama hakuna reform hakuna uchaguzi hivyo yeye katumwa na kamati kuu hivyo yeye anasimamia maamuzi ya kamati kuu. Lisu ni mtanzania na hatetei maslai yake mwenyewe bali anakutetea weweLissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.
Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.
Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
1. Hajawahi kushindwa kesi yoyote aliyosimama kama Wakili; Nyamongo Tarime, Lijualikali Kilomembero, Dr Slaa, Karatu nkkwa hulka yake,
Lazima atatenda kosa lingine la kisheria na kujiongezea matatizo zaidi ya kisheria tena akiwa mahakamani 🐒
Dada kwa shahidi wenu aliefeli form 2 hata hakimu kichaa hawezi kunsikiliza...lissu mmoja ni sawa na wanaccm na policeccm wote tanzaniaLissu atulie dawa iingie taratibu. Mwana kulitaka na kalipata.
Yaani Januari unamtoa Mbowe CHADEMA kwa hila, halafu mwezi Machi unataka kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi.
Vyombo vya dola havicheki na nyani katika kulinda amani na utulivu wetu. Ngoma ya NGONDOIGWA umeingia mwenyewe sasa unataka kutoka. Daaaadadeki
huenda amewahi kushinda njaa pekee jentleman,1. Hajawahi kushindwa kesi yoyote aliyosimama kama Wakili; Nyamongo Tarime, Lijualikali Kilomembero, Dr Slaa, Karatu nk
2. Na katika kesi makumi yalifunguliwa dhidi yake kwa hila tu kama hii inayoendelea sasa kuanzia kwa Ben Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia, hakuna kesi hata Moja amewahi kukutwa na hatia na kuhukumiwa adhabu..!
#Kama una kumbukumbu tofauti na hii, shuka hapa tuambie..
#Hii nayo (mark my words) haiendi popote. It's aidha Jamhuri itaweka Mpira kwapani na kutimua mbio au ikae mkao wa kupigwa TKO pamoja na "maelekezo toka juu..."
#Kujua kesi ina uelekeo gani huwa ni mara ushahidi ukianza kutolewa na mashahidi wa washitaki...
# Leo shahidi wa kwanza tu ameonesha wazi kuwa hajui anachotetea. Na mawakili wa Republic wanajaribu kuomba hisani ya kupata protection fulani ya upendeleo kwa hakimu...
#That's absolutely pathetic. Hakuna kesi hapa, ni ujinga tu wa Chura Kiziwi na watu wake unaoendelea hapo🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️

Kifupi Lisu hana imani na mawakili wake ndio maana kawatoa
Mengi tumeyafahamu kupitia Nelson Mandela Rules ambazo leo hii 16June 2025 mshitakiwa Tundu Lissu alipotoa hoja :
High-level presentation of the Nelson Mandela Rules: Statement of Prof. Njabulo Ndebele
View: https://m.youtube.com/watch?v=s03W72NuGKg
The revised “UN Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners”. were recommended to be known as “the Nelson Mandela Rules” in order to honour the legacy of the late President of South Africa, Nelson Rolihlahla Mandela.
Mwisho wa siku wote mtachnganyikiwa maana chama hakina wazee wa kuwapa ushauriSasa kama siyo kazi yako. Ni kina kuwasha mpaka hapo ulipo huwezi kukaa kwa kutulia?
Jibu kama mtu mwenye akili timamu